Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5479.JPG
 
Lallana akiondoka ndio naona madison atakuja. Ila Kloop anampenda sana Lallana so nadhani atampa mda zaidi. Unless leicster wakubali kuswap.
But usajili ambao utakuja ni mbadala wa Firminho...( origi nadhani ataondoka)
Na beki wa kati mmoja ( nadhani lovren ataondoka)

Magalasa yote yaondoke tubaki na wachezaji sasa.
 
Sasa apo ci mutabaki na Keita, VVd, Allison, na Mane tu.

Salah na Firmino wanaeza kuwa Liability msimu huu mpya.
aisee ndugu yaaani unaanza kupiga ramli nani atakua liability hata ligi haijaanza kweli wewe ni nomaaa...

unatakiwa kua na hofu maaana Hazard amekua akiibeba Blues kwa kipindi kirefu sana, hapo sasa pengo lake kuliziba kazi mnayo na ndio bado usajili mmefungiwa huyo Coutino mtamsikia tu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom