Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Fainali ilikuwa na Barcelona na tulishinda. Leo ilikuwa siku ya kupewa kikombeJapo tumecheza mpira mbovu ila sisi ndio MABINGWA.
THIS IS LIVERPOOL
Hapana mimi sikubisha uamuzi wa refa ila watazamaji wengine walibishana sana kuhusu huo uamuziMkuu unataka tuitoe ile penalty iwe 1-0?
Anaomba vita wakati wa amani wakati ilipokuwa vita hakuomba mtiti uendeleeAnataka kuanza ligi wakati imeshaisha tayari

Niliandika mahali humu kuwa "Mungu ni wa Watu wote" ona sasa hatimaye Juggen Klop amefuta machozi ya kukosa ubingwa fainali zote 2 alizowahi kuchezawale washirikina walioamini kuwa klopp anagundu na kila mechi za fainali leo tumewakata ngebe !

Sadio Mane habari nyingine kabisa ktk kujituma pale Liverpool kuliko mchezaji mwingine yeyote yuleUwezo mdogo ukimlinganisha na watu wa mbele pale,mkuu unataka sarah,mane Na firmino akae bench origi acheze?.
Mmoja wapo hapo akikaa tu bench mechi moja,ananuna na anaona klopp hampendi.
Origi anapambana sana,hao wengine wamebaki wajina uwanjani hawajitumi kabisa

Baada ya miaka hio,lakini uefa ya 6 hio hapo.alieko mbele yetu ni madrid na ac milan tu,wengine hatuwatambui barani ulayaTofauti hii huonekana kila baada ya miaka 15![]()
MkuuHapana mimi sikubisha uamuzi wa refa ila watazamaji wengine walibishana sana kuhusu huo uamuzi
Japo tumecheza mpira mbovu ila sisi ndio MABINGWA.
THIS IS LIVERPOOL