Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Mkuu unataka tuitoe ile penalty iwe 1-0?Watu wamebishana sana kuhusu ile penati aisee
Mkuu unataka tuitoe ile penalty iwe 1-0?Watu wamebishana sana kuhusu ile penati aisee
Ebu wa update watuwekee ilo kombe hapo juu ya Uzi....Picha yake tu mamaaaaaaeeeee
Hahaaa...nilitegemea tu huyo kimeo atakutana na jibu kama hiliBasi haina shida hiyo penalty ifute matokeo yabaki 1-0


4-0 then bado unasifia upuuzi? Sometimes mpira ni techniques siyo kukariri tu "ball possesion"Niumie nni?? Ila ukweli lazima usemwe kuwa final ilikua mbovu sana..... Bora hata mechi ya barca na liver mlioshinda 4 kidogo ilikuwa na mshike mshike ila hii imedorora mno way below expectations.
Spurs were shit.... Liver were blunt
You cant be Yuropa soccer super power by beating Waltford in FA cupKaeni na Carabao, FA na EPL zenu
Unaakili sana sie hata tungecheza viZuri wasingesema waendelee kuumia sie kwetu leo nifuraha YNWA!WAMEPIGWA NA WAMECHAKAA...TODAY'S FINAL WAS NOT ABOUT PERFORMANCE WAS ABOUT FINISHING THE JOB...AND DEFINITELY LFC FINISHED THE JOB....
TUMESAKAMWA SANA LKN MWISHO WA SIKU TUNACHEKA KWA DHARAU...HAYA WAPIGA RAMLI LETENI VIDOMO DOMO.
Wakikupiga usinisumbue kukuteteaatatua mwanitesa united

Mropokaji aliyekataa kuhamia Yanga...Yuko wapi manara msema hovyo

Wakikupiga usinisumbue kukutetea![]()





Walidhani Sisi ni wavulana sio?Unaakili sana sie hata tungecheza viZuri wasingesema waendelee kuumia sie kwetu leo nifuraha YNWA!
Aisee mkuu Leo ndio nimejua Liverpool tunachukiwa,,,yaani Kuna watu wamechukia sijapata kuona... haha haha haha.!!vijana wanepambana Sana acha tufurah tu.Unaakili sana sie hata tungecheza viZuri wasingesema waendelee kuumia sie kwetu leo nifuraha YNWA!
Hapana katika 6 mpe kombe moja iwe 5 atatafuta kila la kuongea inamuuma kuona Hendo kabeba hahaha! Sasa wabadilishe picha huko juu!Mkuu unataka tuitoe ile penalty iwe 1-0?