Dogo alipata ufunuoBado naiwazia ile kona ya TAA... huyu dogo kumamae wallah... Yaani aliiwahi kimachale then akainyoosha utafikiri katumia rula. Barca wakashtuka tu kitu kiko nyavuni.
Mi nadhani bado naota. Si bure
Punguza roho mbaya ili Mtu asijiue kwa kuupokea ukweli mchungu Chifu [emoji28]Rudia tena maneno yako
Imetumia
Umeanza majungu lini mtani? Huku tuko kwa YNWA,habari za siku nyingi?Salam toka kwa kwa genius Ole
Hahahahhahahah kumbe basi nami uliko nipo!!!Umepitwa sana yaani, maana humu ndani wameshajitenga dear[emoji23][emoji23].
Ilikuwa nusu fainali pia?
SecondedWe will beat Spurs left and right!
I dont wanna to face rejuvenated Ajax
Yeyote size yetu, ila Ajax ni kipya kinyemi, wewe hupendi kusoma kurasa mpya mkuu? Maharage kila siku yanachosha.Wakuu,
Hivi leo tumwombee nani ushindi kati ya Ajax na Spurs ?
Sawa Pacha, wakichukua ubingwa sisi tutasuport Liverpool ya Malafyale [emoji23][emoji23]ya King Ngwaba ni wasaliti.Hahahahhahahah kumbe basi nami uliko nipo!!!
HahahaaaaHako kakinywaji katakupa kakitambi ka ufukara... Hako mi huwa nakatumia kumeza dawa kama nina malaria
Hahahaha!!! Sawa nakisubiri kijora najua itashinda ya ndugu yanguSawa Pacha, wakichukua ubingwa sisi tutasuport Liverpool ya Malafyale [emoji23][emoji23]ya King Ngwaba ni wasaliti.
Wasipo chukua ni singeli na vigodoro kama kawaida, nitakununulia na kijora.
Hiyo Avatar Ni wewe ?Sawa Pacha, wakichukua ubingwa sisi tutasuport Liverpool ya Malafyale [emoji23][emoji23]ya King Ngwaba ni wasaliti.
Wasipo chukua ni singeli na vigodoro kama kawaida, nitakununulia na kijora.
Umeanza majungu lini mtani? Huku tuko kwa YNWA,habari za siku nyingi?