Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ha ha ha kwa ewew utaambulia buku ya mb..,vijana Ni wapambanaji na wanastahili sifa Sana...tunatakiwa kusimama nao nyakati zote sio kukata kata tamaaa wakati Cha kupigania kipo.

Aminia jamaa, maana ulipambana si mchezo.

Mimi nilibaki kutamani kuiona Liverpool haifungwi Anfield, ila kumtoa Barca sikuona kabisa kitu hicho.

YNWA.
 
Najua Watasema tumebahatisha! Lakini wamesahau hili!

√ Tulimfunga PSG waliyesema hatuchomoki

√ Tulimfunga Napoli Waliyesema hatuchomoki

√ Tulimfunga Bayern Waliyesema hatuchomoki

√ Tulimfunga Barcelona Waliyesema hatuchomomki.

Sasahivi eti wanatutisha kwa Spurs/Ajax alaa!
 
Hebu tulia kwanza tufurahi!..tukutane weekend tukiwa na Epl mkononi
[emoji23][emoji23][emoji23]jumapili mnakamilisha tu idadi ya michezo, harafu wakubwa wananyanyua epl


Ni swala la muda tu, final liverpool hana kitu kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…