Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Mungu hakupi unachotaka anakupa stahik yako.Atusaidie mechi ya mwisho EPL Man Shit pia atafunweeeeee...
Mkuu we did it again.in klopp we trust.barca tumemkalisha 4 bila pale anfield hawaamini wanachokiona kwenye ubao
Huyu mpuuzi anaikubali Yanga ila anajificha tu. Hata sisi hatumtakiAsante Liverpool kwa kumuamisha Manara kutoka Simba kwenda Yanga
Toka game ya Liverpool na Chelsea huyu jamaa nishamuona ni mswahili. Mchezaji mzuri ila anashindwa kujitofautisha na wanao anza mpira. Lack of professionalism.
Safi
Mbona unateseke bro?Katika vitu si sivielewi ni pamoja na Liverpool. Yan mnaamka katika wakati ambao usiotegemewa (kushinda) wakati mwingine mnalala muda usiostahili(kufungwa). Barca kuna kitu mmewafanyia si bure, yan zile fujo wale walevi wa Liverpool walizoenda kufanya kwenye hoteli ya Barca ndio zimewafanya vile. Au walifanya makosa kuwaanzisha Coutinho na Suarez kwa pamoja. Sasa mlishindwa nini kukifanya hiki kule kwao ili kumaliza kazi mapema.? Yan najiuliza maswali mengi bado sipati majibu. Daah mmetushangaza sana wapiga ramli.
It was a magnificent comeback. Congratulations.
KING NGWABA njoo tushangilie kaka hii timu ni yetu Brother
Messi na Barca yake walichokifanya watasababisha watu watukanwe MATUSI ya kiingereza wiki nzima..!
Mpira bhana..!
Umpira The Cops wameutowa wapi
Mkuu yani ndiyo nawasha simu muda Muda naona kama siamini kinachoendelea!!! [emoji23] [emoji23][emoji23]
Nilikuwa Bize kinyama naandaa Presentation ya kwenye kikao ya kuiwasilisha leo asubihi.
Nilitaka Nami Muitaaa Anaonekana Yupo Bizeee
Mkuu vijana wamefanya maajabu impossible is nothing.wamepambana sana.
Vipi kuhusu reception ya Suarez na Coutinho ilikuaje?
Performance ya Messi?
Vipi VVD Leo kuhusu kumkaba Messi?
My Boy TAA je upo umuhimu wa kuekwa Bench kama alivyoekwa kwenye First Leg?
Siwezi kuongeza lolote ila tunaposemaga hatukati tamaa Hadi dakika ya mwisho muwe unatuelewa an mpira Ni dk 90 sio kutype type tu..
Cc:king ngwaba Ni pm namba yako nikutumie hela ya vocha kidogo ili urudishe matumaini.
#Thisisliverpool#
#inkloppwetrust#
#YNWA#
Vipi kuhusu reception ya Suarez na Coutinho ilikuaje?
Performance ya Messi?
Vipi VVD Leo kuhusu kumkaba Messi?
My Boy TAA je upo umuhimu wa kuekwa Bench kama alivyoekwa kwenye First Leg?
TAA tunamtaka pale old trafford