In malafyale voicenani hayaogopi majogoo?
Hatubishi kiongozi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]TUNABEBA EPL nani anabisha?
Mkuu Mc cane khabari yako buana[emoji3][emoji3]Ninasema kombe kombe mtalisikia tu kwa wenzenu, maana hakuna namna. 30 years counting.... Lazima mwaka huu ufe kwa presha wewe, tehetehetehe.....
Caputeeein ....naona ulisemaaa[emoji12][emoji12][emoji12]come May the whole of Anfiled we b full bright moon guys celebratin th 19th Epl trophy...
n who knows perhaps Ucl n FA cup pia...
Ngoja tufukue makaburi ya mwisho mwisho[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Yani ukuta Mzima Wa Man City ni Laporte peke Yake ndiye Mwenye Uhai..
Lakini Otamendi, Jones na Walker ni uchochoro Wa kujipigia tu..
Sasa hapa tuwapatize kabla hajarudi Mendy na Fernandinho...
Na vile vile ni kwamba Bado KDB hajawa sawa Kutoka kwenye injury... Kwahiyo tuwapatize pia kabla KDB, Aguero na Silva hawajakaa sawa.
Coz si kwamba Guardiola kaishiwa mbinu! Bali Guardiola atabaki kuwa ni Best Coach in the World bali ni Majeruhi tu yamemuandama Kwa Wachezaji Wake.
Hili kaburi lilifukiwa vibaya ..ngoja tulifukue ili tufukie upya..[emoji3][emoji3][emoji3]bwana wee utamu wa ligi hii ndio hii matokeo usiyotarajia muda wowote yanatokea...
hata sisi hatupo salama kabisa esp hii Jan ndio maana Klopp hataki kua carried na ushindi na wengine kupoteza hivyo ndio Klopp anasema "we take one game at a time" ...
ToT ni kweli upepo wa ushindi wanao kwa sasa...
Nyinyi bila Straika wa uhakika mtazidi kupotea ndugu maana Morata, Girud sio tegemezi kwenye hizi mbio...
Tunashukuru kwa maombi yako tutajitahidi kutokuangusha.
Mimi nipo mzee, mimi huwa mkimbiaji kama weweMkuu Mc cane khabari yako buana[emoji3][emoji3]
Atusalimiani Siku hizi, tunakwepana mimi nipo bwana ...sisi Man United KHALISI Bado tubamkumbuka Mourihno aise..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hahahahahahaha chaliifrancisco hii statement ilitoka moyoni kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] njo tupe mrejeshooWe are now pulling mojos and breaking that evil spell.
to hell with your jinx, we are decoding it.
@SONGOKA wewe unaeza kuwa real wizard ...japo bado tunaimani na Brighton..ubingwa sahauni liverpool is jinxed on EPL
HahahahahaYeah cha muhimu ni kushinda kwanza hii ya nyumbani vs Arsenal. Tukienda Ettihad Pep hawezi ku seat back kama alivyofanya alipokuja Anfield lazima atafunguka and hopefully hapo ndio atakuwa amefanya mistake tumpige hata tatu.
7+ na leo ni -1 ..kweli mulivyo draw mulikuwa kwenye position nzuri...Game ambayo iko easily attainable ni ya Arsenal, City ni wagumu sana, tuanze kwanza kudili na Arsenal. Tukishinda hiyo game itakuwa na maana kwamba City tunakutana nao kukiwa na 7+ point differential, ambapo hata tukidroo tutakuwa bado tuko kwenye position nzuri vs Man City. Changamoto itayobaki ni Tottenham.
Hili kaburi nalo lilifukiwa ndivyo sivyo..Ndiyo maana tunataka tarehe tumpige pale Etihad ili tumtoe kabisa kwenye title race.
Yeaa yeaa mick check one two one two...booongeee la kaburiiiiiii[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ndio maana mimi nasisitiza kuwa hatutakiwi kuwa reluctant au carried away.
City by the start of December alikua anaongoza league kwa 2 points and 15 GD..
Leo hii within four game weeks yupo nafasi ya tatu tumeshamwacha 7 points with zero GD.
Things can change in a dramatic way, lets keep focused.
One game at a time.
YNWA.
Pam pam ...mzee babaaaa nyie ndo mabingwaaaaaaaHuwezi Amini!!!
Kuanzia Timu iliyopo Nafasi ya 6 Mpaka ya 20 wote tumewafunga.
View attachment 978752
Yea yeaaaa tumetishaaa sana ..
Hahahaha mkuu sisi fans hatujakubali ..ila Klopp yeye kiroho safi kakubali kabisaaa...Tumenyanyasika sana ila safari hii inyeshe mvua au jua, Klopp hatatukabal kumalza msimu bila EPL.
Wewe ulisema kweli ..Mkuu inawezekana na wala si uchawi au hukubali?
Ni si Man United tu bali timu yoyote Katika 19 tunazocheza nazo inaweza kutufunga.
Kuna mambo mpaka sasa nimejizuilia nisije nikameza maneno yangu.
1) Siwezi kusema Msimu huu hatutofungwa na Timu yoyote au timu Fulani.
2) Siwezi kusema kuwa Msimu huu lazima tubebe Ubingwa kwani kuongoza Points 6 si kuwa hatuwezi kufikiwa au kupitwa.
Mpira unadunda.
7 point dropped down..Tuna Challenge 3 tu zakuweza kuzifikiria kuhusu kutufunga Kwa sasa.
1) Man City (Etihad)
2) Man United (OT)
3) Everton (Godison)
Sasa hapo tukitoa sare tu na Man City basi test ya Everton nayo itashindwa kutufunga!
Hapo tutajiandaa Kwa Man United kwasababu ni NW Derby tuimalize hapo Kwa sare.
Mkuu mkuu makaburi ni mengi sana yalifukiwa vibaya..Jumapili nitakuwa hapa kufukua makaburi