Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Malafyale kiongozi wetu wa liverpool KHALISI wewe ulituahidi tutabeba EUFA na EPL na mpaka sasa hatuna matumaini ya kubeba chohote apo. Tena ulitupa uhakika wa kwamba Klopp huwa akosei yeye anajua sokker mgt zaid yetu; tulivyotoa zile draw mfululizo wale Liverpool FEKI walimjia Klopp juu wakitamani ata kumla nyama[emoji12][emoji12]lakini wewe Liverpool KHALISI ulikuwa upande wa klopp muda wote ...sasa mkuu maji yanaelekea kuzidi unga na ulichotuahidi hakina uwakika wa kutimia tena. Sisi followers wako tutaficha wapi sura zetu maana tulitamba mtaani kuwa tutapita na EPL na UEFA....
JE? Prezidaa tutapata chohote msimu ili tuendele kukuamini?[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
HahahaaLiverpool HALISI tupo sawa sana!
Lovren ni beki wetu na tuna m support,Hendo ndiyo Captain wetu na tupo nyuma yake!
Watu wapo Kimbiji huko wanataka kutuonyesha kama wao wanajua soka menejimenti kuliko Klopp.
Upuuzi mtupu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu usijali hili kombe lenu tu, muda bado.... hahahahahaUngekuwa na timu nzuri ungesumbua watu sana bahati mbaya timu unayoshabikia haina u tofauti na Maveterani Fc
Chetu miaka 30..Nyie chenu ni kipi
Huu ulikuwa ni mwaka wenu mzuri, kwa hiyo kutobeba I can imagine the pain you feeling right nowSisi tumekubali hatubebi chochote nyie mmepata nini ? Wenye timu bora
Jishindie kombe wewe mwenyeweKinachonishangaza sasa hivi mashabiki wa Arsenal, Manchester United wamekuwa kama Malaya wa Sinza kila mwanaume wanamtaka wao sasa hivi kila timu wanashabikia kama Mazezeta vile.
Huyu atakuwa wa Uwanja fisi kabisa, teheteheUmepanic braza Relax..[emoji28][emoji28][emoji28] Nakukumbusha ww ulianza kwa Totts ukaja kwa Man utd then kwa Bunley leo ulikua Leicester.. huu wako tunaitaje ukiachana na lile jina la UKAHABA
Mnajifanya Leicester amewaangusha, utadhani mechi ya Wolves mtashindaWewe timu yako ni kama kikundi cha wauza mbege wa Yombo kilakala unaongea nini
Hahahahaha.... Klop bhanawewe umesahau Klop alisema wazi majeruhi ya UTD yalifanya liverpool itoke kwenye game plans, wachezaji wa Liverpool walishikwa na bumbuwazi kuona UTD wachezaji wake wanaumia hovyohovyo
Naona mmebana pumbu mpaka zimepasuka zenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] just kidding bronachokiona hapa leicester hawana mpango wa kufunga goli lolote yaani wanacheza cheza tu,ila kinachonisikitisha hawa wenye uwanja naona wanatumia nguvu kubwa pasipo na mafanikio[emoji3][emoji3]
No surrendermwaka wenu huu mkuu
no retreat
Tuhesabu, giving Pep greatest, challenge of his coaching carrier kama kombe msimu huu