Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mi ni Chelsea fan mwenzako lkn penye ukweli huwa sipindishi, hata hivyo bado marudiano dkk 90, so kuwa mpole tu.
Wewe sio Chelsea fan bana ..wee utakuwa mamluki tu ..au ndo unatafuta timu ya kuisupport ..me naona liverpool inakufaa sana mkuub..achana na The Bluez[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nimewahi kuja kumpa uji mgonjwa maana Mtoa roho kamtembelea kamwambia J4 anakuja kutoa roho rasmi yaani kiufupi mpaka sasa hali ya mgonjwa mbaya nimeamua kumfariji
 
Haya niwatakie usiku mwema

Ollachuga Oc unapenda sana misiba kama hii,

Pumbaff thana
Hahahahaha mkuu AROON misiba kama hii hakunaga kulia maana marehemu alikuwa ni kibibi kilichozeeka sana ..hapa ni mwendo wa kufurahi mpka apo jumanne tutakapo kamilisha mazishi yake na kumpumzisha marehemu kwenye nyumba yake ya milele[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Isije wewe ukabondwa, kuna MTU anaitwa jovic na rebik ,

Mm kesho mapema tu naingia kamban,
Hahahaha leo ni leo mzee babaa ...Yale Yale ya janaaaaa....VALENCIA wanakuzoom tu.

mimi leo namtundika mtu mbili moja...
 
Messi vs Ronaldo ngazi za vilabu
::
Cristiano Ronaldo: [emoji238] Mechi: 801
[emoji460] Magoli: 600
[emoji457] Assists 199
::
Lionel Messi:
[emoji238] Mechi: 683
[emoji460] Magoli: 600
[emoji457] Assists 233
::
[emoji431]Tufunge mjadala au tuendelee?
Ishia apo mzee babaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ronaldo tupilia mali ukooooo

Leo King Himself[emoji146]

Messi ni jiwe la pembeni.....
 
Kinachoenda kuwaponza ni jerseys nyeupe. Barca watawaona kama Madrid vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Suarez si legend wenu mbona unamtukana
 
Hii mechi imeondoa ile morale ya Liverpool kushindana na Man City kwenye tittle race,
Kwa mechi mbili zilizobaki matokeo yatakuwa hivi
Newcastle anakula 1-1
Wolves anakula 2-1
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…