Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,160
- 17,061
Muda unasogea kwa kasi, God bless Liverpool.
YNWA
YNWA
Egyptian kingKing messi na king nan?
Usishangae leo Allison akafukuzwa kama yule mwingneLiverpool mlivo na mkosi, unashangaa kipindi cha kwanza tu salah anaumia
Spain sio kuzur kabisaa
Nikikumbuka final ya madrid na liverpool nabaki najiuliza maswali kibao tu,sijui liverpool walilogwa kuanzia kipaa ilikuwa maajabu tu
Iyo kiungo kama ya ndanda4-2-3-1 with Mane uptop... anyone?
View attachment 1085738
Sawa tunaheshimu mawazo yakoBarcelona 2-3 Liverpool utabiri wangu ndio uo
Sawa mtabiri tambi tambiBarcelona 2-3 Liverpool utabiri wangu ndio uo