Kwamba ataingia uwanjani kabla ya mpira kuanza afunge goli sita peke yake ndio mpira uanze au?
haaahaaa wamesikiaWaambie ndugu zetu, waamke hio ndoto yao ndefu wataota msimu mwingine![]()
hujielewi ww
Ukiwa unashambuliwa sana ni rahisi sana kufungwa.Fair play to Dyche, did his level best.
got no-one else to blame but ourselves.
kwema sanaaaaa....wenye timu yetu tupo tumetulia tulia twashangaa hii spidi ya kutuvamia hivi vipeee kwani leo ndio mechi ya mwisho...bado mechi 2 kwa Citi na hii ni Epl lolote laweza tokea...Jamani kwema hapa
Kwema sana. Naomba umwite Aroon nimuulize kuhusu Arsenal.Jamani kwema hapa
its Turf Moore si mahala salama sana...am delighted how Dyche set up his team..nice msimu ujao watakuwepo EPl..Fair play to Dyche, did his level best.
got no-one else to blame but ourselves.
Wachezaji wa Burnley hata Dribble hawawezi hahahahahahahahahUkiwa unashambuliwa sana ni rahisi sana kufungwa.
haaa kapaki basi huyo, anasibiri gem ya Man u na Chelsea apate pa kujifichaKwema sana. Naomba umwite Aroon nimuulize kuhusu Arsenal.
Please Unary remove your mask, we know it's you Wenger?
duu wanajua kukaba tu waleWachezaji wa Burnley hata Dribble hawawezi hahahahahahahahah
Sisi hatuna tabu. We choose our mwizi silently. Hata tukikosa ubingwa we know it's our fault. We already know tulipokosea.haaa kapaki basi huyo, anasibiri gem ya Man u na Chelsea apate pa kujificha
Tafuta jogoo mwekundu. Sisi hatuna rangi hizo. We are Liverpool. This means more.Mi napita tuView attachment 1083437





Day dreamNewcastle hatamuacha mtu salama mark my words
Huku ni kuhamisha magoli sasa kunaitwaNewcastle hatamuacha mtu salama mark my words