kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,749
- 12,137
Kampuni gani hii inafanya hivo kabla ya ligi kuanzaMkuu hujanielewa..wakati ligi inaanza kuna kuweka beti nani bingwa,nani atashuka daraja meneja yupi atafukuzwo, mfungaji bora n.k...
sasa wakati Leicester anachukua ubingwa katika makundi ya watu 5000 waliobeti mwanzo wa msimu ni mtu mmoja alisema Leicester bingwa,
