Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

This will make us regrate if we won't grab that crown.

Draw vs Leicester
Draw vs Westham
Draw vs United (was easy)
Draw vs Everton.

Ohh Lord be on our side",. In your name i believe we will archieve",..

AMEN.
Whateva th outcome il be hope we keep our main players n sign direct 1st 11 players to have th right squad to challenge all for th grabs come next season...

In everything give THANKS...IF MOTHER LUCK GIVES US EPL TROPHY I WILL SAY THANKS, IF WE ARE BLESSED WITH UCL TROPHY WILL SAY THANKS, N IF BOTH ELOPE WILL STILL SAY THANKS FOR THE GOOD TYMS TH BOYS PROVIDED...
 
Anastahili kabsa..waache mambo ya uzawa!! Jamaa ndy defender mzur sana kweny ueropian football kwa saiv...physicality yake tu + akili za defending zinam-beba
kabisa th boy amejaaliwa na instinct n capabilities za kua th very best defender in Europe kwa sasa...

anafanya pia ma partna wake pale nyuma kucheza vyema, Matip nilishasema ni moja ya wachezaji wa kuuzwo lakini tangu awe partner wa VVD kawa mzuri sana anajua nini afanye na kwa wakati gani..

anamfanya Robertson kupeleka mashumbulizi mbele huku akiwa na confidence VVD il cover for him just incase...

For £70m ni kama tuliwapora jamaa...am grand Chelsi aliwatolea nje na kutuchagua sisi.

anastahili kabisa kua mchezaji bora EPL na tukibeba UCL naona Ballon ikimmyemelea...
 
Liverpool forward Mohamed Salah has been named as one of Time magazine's 100 most influential people in the world for 2019.

Salah is one of just five sports people on the list, alongside others, this is the list.
1) Mohamed Salah (football)
2) LeBron James (basketball),
3) Tiger Woods (golf),
4) Caster Semenya (athletics)
5) Alex Morgan (football) female.
 
kabisa th boy amejaaliwa na instinct n capabilities za kua th very best defender in Europe kwa sasa...

anafanya pia ma partna wake pale nyuma kucheza vyema, Matip nilishasema ni moja ya wachezaji wa kuuzwo lakini tangu awe partner wa VVD kawa mzuri sana anajua nini afanye na kwa wakati gani..

anamfanya Robertson kupeleka mashumbulizi mbele huku akiwa na confidence VVD il cover for him just incase...

For £70m ni kama tuliwapora jamaa...am grand Chelsi aliwatolea nje na kutuchagua sisi.

anastahili kabisa kua mchezaji bora EPL na tukibeba UCL naona Ballon ikimmyemelea...
Sioni kama VVD atapata mafanikio yeyote apo Liverpool ..chini ya Klopp Liverpool hawatavuna kombe lolote lile..

VVD uyo msimu huu mambo yamemuendea vizur kwa sababu backlines za timu nyingine hazikuwa njema kabisa.. mf Chelsea, Man city, Man u..kama zingekuwa fiti jamaa angefunikwa sana..

Ni moja ya usajili mzuri sana Klopp ameufanya msimu huu. Ila akitaka mafanikio zaid aondoke Liverpool..
 
Klopp ni kocha bora duniani
Unamfukuza kocha bora umchukue nani?
Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?

Klopp Out....
 
Sioni kama VVD atapata mafanikio yeyote apo Liverpool ..chini ya Klopp Liverpool hawatavuna kombe lolote lile..

VVD uyo msimu huu mambo yamemuendea vizur kwa sababu backlines za timu nyingine hazikuwa njema kabisa.. mf Chelsea, Man city, Man u..kama zingekuwa fiti jamaa angefunikwa sana..

Ni moja ya usajili mzuri sana Klopp ameufanya msimu huu. Ila akitaka mafanikio zaid aondoke Liverpool..
Mkuu Chuga huo ni utabiri chini ya Klopp hatashinda lolote?, muda utasema..hilo halina mjadala pia japo dalili zinaonyesha tuedamo ni kuzuri tu..

VVD sio straika ndugu hivyo bacline za timu zingine zikiwa hovyo yeye hazimhusu, ungesema timu nyingi zina mastraika butu hivyo yeye amepeta kwa hilo angalau japo sio kweli kwa vile amekutana na timu pia za nje ya Uingereza na timu ya taifa na anafanya vizuri...kuitwa beki bora kwa sasa Ulaya hawajampedelea ndugu ndio ukweli..

VVD mtajilaumu sana kumkosa ndugu..
 
Hivi itakuaje wazee wa melwood tukikosa kombe lolote mwaka huu?(epl na uefa)
kwanza ni kuhakikisha wachezaji wetu bora wanabakia kwenye timu hawatauzwo..

la pili ni kuuza ma dead woods wote Lallana, Origi, Moreno, Daniel, Lovren, Milner n.k

la tatu ni kusajili mapema kabisa like for like wanaoingia moja moja kwenye kikosi na kupata depth ya kuko compete at th highest level..depth ya Manciti inawapa luxury ya kua na kikosi bora ma kipana De Bruyne, Fernadtho, Aguero, Mendy, Laporte n.k wamekua majeruhi kwa nyakati tofauti kabisa na jamaa bado ilikua ngumu kujua maana matokeo kwao ni ushindi tu..

la nne Klopp ajifatakali approach mentality ya some of th games, EPL sio mahala pa trial basis kama alivyomchezesha Hendo RB na yaliyotokea tunayajua..tukikosa EPL msimu huu 90% lawama zinamhusu Klopp.

la tano Klopp akumbali Brexit Md haitatuletea mafanikio yoyote zaidi ya maumivu...kama Hendo atabaki acheze B2B na Fabi aachwe afanye yake...

la 6 pre season coaching department wawe flexible kubadili hii 433 to something else maana kuna wakati imetu cost sana..

n.k
 
Mkuu Chuga huo ni utabiri chini ya Klopp hatashinda lolote?, muda utasema..hilo halina mjadala pia japo dalili zinaonyesha tuedamo ni kuzuri tu..

VVD sio straika ndugu hivyo bacline za timu zingine zikiwa hovyo yeye hazimhusu, ungesema timu nyingi zina mastraika butu hivyo yeye amepeta kwa hilo angalau japo sio kweli kwa vile amekutana na timu pia za nje ya Uingereza na timu ya taifa na anafanya vizuri...kuitwa beki bora kwa sasa Ulaya hawajampedelea ndugu ndio ukweli..

VVD mtajilaumu sana kumkosa ndugu..
mkuu mimi naona Klopp atafeli sana apo Liverpool ..ni bora tumrudushe Brendan Rodgers yeye angalau aliweza kunyanyua Carabao cup ..lakini Klopp yeye bado ana mawazo ya kujenga timu, mawazo ya kunyanyua makombe sidhani kama anayo ..au mchukueni Antonio Conte yeye ana mentality za kubeba makombe ..

Ata Rahim sterling akuona kipya kitachakoendelea apo Liverpool, Coutihno Naye ivyo ivyo ..kwa Suarez nako tena ivyo ivyo. VVD au Mane au Salah watafute timu zingine ..uko akili zao zinaeza badilika ..
 
Sioni kama VVD atapata mafanikio yeyote apo Liverpool ..chini ya Klopp Liverpool hawatavuna kombe lolote lile..

VVD uyo msimu huu mambo yamemuendea vizur kwa sababu backlines za timu nyingine hazikuwa njema kabisa.. mf Chelsea, Man city, Man u..kama zingekuwa fiti jamaa angefunikwa sana..

Ni moja ya usajili mzuri sana Klopp ameufanya msimu huu. Ila akitaka mafanikio zaid aondoke Liverpool..
Mbona hueleweki mara vvd anabebwa na defence line ya timu nyingine kuwa mbovu
mara vvd ni usajili mzuri wa klopp brother vp
 
Mzee baba mpira hauchezwi kwa matumaini.
Liverpool not ready to win the title - David Moyes.

Hahaha, so tamko la David Moyes ni SI Unit kwako?

Energy unayoitumia hapa ingeweza kusaidia Chelsea kucheza UEFA next season, ila ndiyo hivyo, ni bora mshinde kwa majirani maana home kwenu hakueleweki.

Halafu ukumbuke, ukiona adui anakusifu jua kuna mahali unakosea, ila akiponda jua unamtesa.
 
mkuu mimi naona Klopp atafeli sana apo Liverpool ..ni bora tumrudushe Brendan Rodgers yeye angalau aliweza kunyanyua Carabao cup ..lakini Klopp yeye bado ana mawazo ya kujenga timu, mawazo ya kunyanyua makombe sidhani kama anayo ..au mchukueni Antonio Conte yeye ana mentality za kubeba makombe ..

Ata Rahim sterling akuona kipya kitachakoendelea apo Liverpool, Coutihno Naye ivyo ivyo ..kwa Suarez nako tena ivyo ivyo. VVD au Mane au Salah watafute timu zingine ..uko akili zao zinaeza badilika ..
Mkuu Rodgers alishinda Carabao wapi?

kwa upande wa ku attract vipaji na kandanda murwa kabisa Klopp yupo miles better, pia CV ya Klopp ipo juu ya Rodgers ukiangalia vyema aliyofanya Dortmond..

Ushauri kama kweli Rodgers ni bora zaidi ya Klopp mchukueni nyie hata kesho maana Sarri anakowapeleka hamjui..

Conte nae alikua one season wonder, msimu uliofuata aliwaacha Futuhi na mpaka sasa bado mpo nafasi Futuhi next season..lakini pia kama Conte ni bora hivyo mrudisheni kama ilivyokua mzee baba Jose murinyo..

Klopp ana mktaba mpaka 2022 na kuna uwezekano apate nyongeza mpaka 2024...hivyo mtulie tulii bado hatajamchoka.
 
mkuu mimi naona Klopp atafeli sana apo Liverpool ..ni bora tumrudushe Brendan Rodgers yeye angalau aliweza kunyanyua Carabao cup ..lakini Klopp yeye bado ana mawazo ya kujenga timu, mawazo ya kunyanyua makombe sidhani kama anayo ..au mchukueni Antonio Conte yeye ana mentality za kubeba makombe ..

Ata Rahim sterling akuona kipya kitachakoendelea apo Liverpool, Coutihno Naye ivyo ivyo ..kwa Suarez nako tena ivyo ivyo. VVD au Mane au Salah watafute timu zingine ..uko akili zao zinaeza badilika ..
we tangu lini ukaitakia liver mema yani badala ya kupeleka huu ushauri kwenye timu yako pendwa chelshit unajipendekeza kwa adui yako kwani liver isipochukua kombe lolote kwako sio furaha?mnafiki bhana!kazi yake kujipendekeza tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom