Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

lini mmeanza kuiita united Nyumbu? Mbona hatuendani na nyumbu?
 
CL tatizo sio pep naona ni city tu.In football game hatuamini ila ni kweli city kama wanakaghndu na CL even before pep come, walikua vzuri domestically ila kwa nje walikua wanastruggle.
tatizo ni pep, Bayern ilikuaje? Pep anaweza ku-emulate tu, hawezi kutengeneza identity yake.
 
hata Brendan alichange hip timu, failing to lift the cup akapata depression mkamfukuza. Klopp mwakani nae atakua na depression.
 
Nadhan unatakiwa ujiulize tangia hao makocha wawepo chelsea wameacha makombe mangapi na je tangia yupo klop anamakombe mangapi?
Hata huyu sarri asipo weza kupata makombe atatimuliwa tuu
 
Hata Wenger akiwa anafanya tour na wajukuu zake kwenye kabati za Emirates anachochakuwaonesha je klop atawaonesha nn ? Kocha bora ni makombe mangap umechukua sio porojo
 
ilikua
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haiwezi kutokea mkuu. Na ikitokea itakuwa ni miujizaaaaaaa.....
muujiza umeushuhudia Leicister kuchukua ,hata wacheza kamari majuu tena wakongwe waliliwa maana katika watu 5000 waliobeti ni mmoja alisema wataupata ubingwa hivyo utulie hivyo hivyo tufanye yetu.
 
Nadhan unatakiwa ujiulize tangia hao makocha wawepo chelsea wameacha makombe mangapi na je tangia yupo klop anamakombe mangapi?
Hata huyu sarri asipo weza kupata makombe atatimuliwa tuu
kila timu ina falsafa yake sisi Liverpool hatuna plastic fans n plastic owners, kocha anavyoajiliwa anakuja na plan yake namna ya kuleta au kufikia mafinikio based on years or seasons

sasa Klopp msimu wa 2019/2020 ndio climax hivyo tupo na imani nae soon tutapata aliyoahidi..

hata Sir Alex Fergie kocha mwenye mafanikio kabisa EPL ilimchukua miaka 4 kushinda kombe lake kwanza Manu la FA(1990) na miaka 7 kushinda EPL title ya kwanza(1992/1993) akiwa na Manu hivyo bado tuna imani na Klopp wetu ana mkataba mpaka 2022...

nyie endeleeni kufukuza mtajijua wenyewe.
 
Ipo sku mtaanza kumtupia vilago mpira makombe baba
 
Leo ni siku nyingine guardiola anaenda kuvunjilia mbali matumaini ya liverpool kuchukua epl kwa kuwapiga burnley gori 3-0 bila wasi wasi


Livepool poleni sanaa

KILA MTU ASHINDE MATCH ZAKE..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…