Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kuna *post* moja ya muda mrefu kidogo (1-2 weeks ago), nimeisoma na nikaishia kucheka sana.

actually, kuna watu wanaichukulia hii platform serious sana, and its sad, becsuse 99% ya watu wa kwenye hii platform hawafahamiani in the real world, but unakuta mtu anakuwa na personal issues na wewe wakati hata hamjuani, i mean its just JF, Nobody is getting paid on here kwa kushare mawazo yake, its just a football platform, hauwezi kuaibika au kufa au kukosa chakula kama mtu aki-challenge your posts or opinions. its not a matter of life and death, its just football.

now, this is an open forum, ndiyo maana Threads zote kwenye hii platform zipo open kwa kila mtu kuchangia, pia kila mtu anauwezo wa kuanzisha thread yake na kushare his ideas, and since its an open forum, kila member ana-uwezo wa ku-quote au kuchangia mawazo yake kwa kile anachoona sawa, but the sad part ni kuwa kuna watu wanaaumia na hivi vitu, its just laughable.

Hii thread ya LFC ndiyo inaongoza kuwa na watu wa namna hii, kuna watu wanapenda kuonekana so *smart* and wanachukia sana kuwa challenged, because their *ego* wont allow that, kuwa na mentality ya ku-appear so smart and force to be respected kwenye platform yenye members (99%) wanaotumia fake IDs ni *ujinga* wa hali ya juu sana, i mean you cant demand that respect kwenye platforms za namna hii, nobody knows you, nobody gives a f* kwa unachokifanya in real life, watu wanakuja humu ku-share yale yanayowasumbua katika mioyo yao, life experiences, sharing their researches na mambo mengine mengi yanayoendelea duniani hence kuna a lot of threads on here and its so lovely.

Personally, i've been a LFC supporter my whole life, mpaka nilipokuja kutambua kuwa kuna Thread kama hii hapa JF, Nilikuwa nimeshatembele na kuwepo kwenye LFC platforms nyingi sana, so it was so nice kuona kuwa kuna platform kama hii ambayo unaweza ku-discuss mambo mawili matatu kuhusu hii club na fans wenzako wa Ki-Tanzania, but apparently ukijaribu ku-share your sensitive opinions hapa, unaonekana *much-know*, na hii inakuja baada ya mhusika kushindwa ku-support his/her opinions pale anapokuwa challenged.

I love football, and i love LFC, i remember wakati wa Roy Hodgson, nilifanikiwa kupata a good *link* ya kufanya kazi na scouting department ya club, na kazi yenyewe ilikuwa ni kukusanya details/stats/development etc za youngsters duniani na kuzituma kwenye scouting department, i did this job for free, and kuna a lot of people kama mimi ambao wanafanya kazi kama hii for free, kuna wengine ambao wapo europe wamepewa badges kabisa za utambulisho ambazo zinawapa ruhusa ya kuingia kwenye viwanja tofauti (kwa maelekezo ya club), na kufanya profiling ya mchezaji husika, i've been doing this profiling for years (Bobby Adekanye and Cos), but i've never claimed to know better and to act so smart kuliko wengine on here, because football is all about passion, but sharing my knowledge about footie and largely about LFC naonekana *much know*, sababu tu kuna watu wanataka kuonekana wao ndio wapo *smart* zaidi kwenye platform yenye full of fake IDs.

When Klopp got the job back in 2015, 4 months later kuna jamaa akawa ana-question uwezo wa Klopp na akawa ana-demand trophies (with no shame), i got into bitter argument with this dude, i mean how can you question the manager ambaye hana zaidi hata ya miezi mitano? tena akiwa na kikosi kama kile? but after 4 years (baada ya kufanya a lot of big signings and quality addition kwenye team), the same dude is out here trying to call out people wanao-question in-game management ya Klopp (the act of trying to be so smart).

i remember the same dude was so against na price tag ya VVD (£75m), and he really wanted the Club to look elsewhere (imagine), at the time wakati ana-question hii signing fee, tulikuwa na kina Lovren ambao walikuwa wana-ship in goals for fun, but now the same dude is out here trying to throw shades at people who wanted this club to act like a big club..

you can go and check my old posts (tangu Klopp aje), and angalia kama nilishawahi kuwa proved wrong kwa kukosoa in-game management ya Klopp. He came at LFC na ile mentality ya underdog kama kule Dortmund, tulikuja humu na kwenye platforms zingine na kuongea sana kuhusu hili, then he bought Mane, Gini etc, but it wasnt enough we demanded more and more, tukapata akina Alisson, VVD, Fabinho, Keita, Salah etc, (before that Klopp paid 4m for Karius 0m for Matip, 8m for Grujic and bought Gini na kumbadilisha kuwa 2nd holder ili Hendo acheze as a 6, and Klopp really wanted to play Hendo as a 6 for a long long time (hence he played him there for 4 straight years), but we were the ones who went into war with the Top reds, local jornos, LFC employees etc for crticising Klopp's decision on playing talentless player like Henderson as a 6, (actually i'm blocked on twitter by Pearce/Doyle and Bascombe), and banned from Echo comments page section, and it took me four months to get my renewed membership card (wont go into details kwenye hili), but now the whole world is witnessing mapinduzi aliyoyaleta Fabinho kwenye eneo la kiungo, actually only few stupid people ndiyo wanaoweza kuamini kuwa LFC ingekuwa inakimbizana na City kwenye ubingwa kama Hendo angekuwa anacheza number 6 mpaka leo.

a smart dude, calling other people *much know* for wanting the manager to play good players kwenye their position, how can you call your fellow fans names kwa kuitakia mema club? how can you get personal kwa your fellow fans kwa kutaka club ichezeshe talented players kwenye their position? some people are so weird.

huwezi kuona nikiita watu *much know* na kuwa wanajua *better kuliko Klopp* kwa ku-question his credibility after 4 months in the job, kwa kusema 75m is too much for VVD, kwa kusema Keita is shit and clueless at defending (because yote haya yanaonesha kuwa you know more than Klopp because unaona hafanyi kitu cha msingi na alikuwa mjinga kutoa 75m and 50m for VVD and Keita), but kwa kuwa si wengine tuna-practice katika eneo la opinions katika mpira huwa tunaona sawa na kuheshimu mawazo yao without calling them names or trying to act so smart kuliko wao, because at the end of the day its just football and siyo kitu kinachofanya family yako ipate mahitaji yake ya kila siku, its just football man.

its like, tunahitaji kuwapa watu wachache sana *free pass* ya kukosoa our players and managers, maana sisi wengine tunaonekana *much know and agricultural*, which is just so stupid Aisee.

I'll continue to share my footie knowledge on here with my fellow Tanzania reds supporters, na nitaendelea kuwa *much know* as long as kile ninacho-share kipo right na ninakiamini, and pia i'll continue to challenge stupid opinions on here, haijalishi kama you're older than me or younger than me, this is an open forum, so if you dont want to be challenged na unapenda kuonekana smart with big *ego* just log out and find your fellow ignorant and ego driven football fans to argue/discuss football with.

I just hate people ambao wanakuwa bothered na mambo ya kwenye mitandao, especially katika soccer, mchezo ambao ni lazima uwe na mkanganyiko wa kimawazo na mtazamo, opinions are bound to be challenged (hii ni katika kila nyanja).

kuna jamaa, nime-mblock, not because of his opinions, because i understand Top reds walivyo (my father is a Top red too), but i've put him in my ignored list because of his disrespectfull gestures/personal attacks towards other reds ambao wana mtazamo tofauti nae, but good thing about this dude he has never claimed to be so *smart* than other reds on here.

its just football, why cant you just enjoy it?

Bro!
Umeandika kwa uchungu sana.... mimi ni fan wa Liverpool niliyestahili hata kufunga gidamu za viatu vyako.
I've been reading about your comments since I joined the forum from you and the likes, to mention the few bro Ngwaba and Don. Hakika nimekuwa nikijifunza mengi.
Ni wazi lazima tutofautiane kimawazo lakini twapaswa kuheshimu mawazo ya wengine, ndo maana kwemye siasa kuna kitu huitwa collective responsibility.
Bro you're pro! Keep on sharing your thoughts/experience with us.....wengi tunaipenda Liverpool ila tuna uwezo mdogo wa kuifikia kupata taarifa kama upatavyo hivyo tunaishia kuokota habari kwenye vibanda-umiza na kuzifanya habari rasmi. We don't have the right source n we don't know how to get there?
MosDef, King and Don! Please open the Liverpool World to us!
 
he's good, but personally nadhani we should target superior talents kwasasa.

will be happy for his signature, but we can aim higher kwasasa.

Why not him now....
Nina hakika moja ya vilabu vikubwa vitamuwania na kumchukua. Kama tayari ana gemu experience ya kutosha (mpk UEFA) nadhani ni bora kuliko wale madogo wetu tunaowatafutia timu za mkopo.
 
Mliandika hapa na maandiko yapo kama Barca na Liverpool zikichanganywa hamna mchezaji wa Liverpool atacheza kikosi cha kwanza!
Tunaenda mtoa Barca UCL tena easy kuliko hata alivyo toka Bayern!

AIBU AIBU AIBU na hatutaki mje na vijijeno ya kutushangiia!
 
Bro!
Umeandika kwa uchungu sana.... mimi ni fan wa Liverpool niliyestahili hata kufunga gidamu za viatu vyako.
I've been reading about your comments since I joined the forum from you and the likes, to mention the few bro Ngwaba and Don. Hakika nimekuwa nikijifunza mengi.
Ni wazi lazima tutofautiane kimawazo lakini twapaswa kuheshimu mawazo ya wengine, ndo maana kwemye siasa kuna kitu huitwa collective responsibility.
Bro you're pro! Keep on sharing your thoughts/experience with us.....wengi tunaipenda Liverpool ila tuna uwezo mdogo wa kuifikia kupata taarifa kama upatavyo hivyo tunaishia kuokota habari kwenye vibanda-umiza na kuzifanya habari rasmi. We don't have the right source n we don't know how to get there?
MosDef, King and Don! Please open the Liverpool World to us!

The mentioned mofos doesn’t know nothing about soccer!
Hao ni watabiri tu walio anza na Klopp out wakashindwa,wakaja na Hendo out wakashindwa na sasa wanashindwa pia kwenye kumuweka Pep kama ni Mungu-Mtu wa kufundisha soka!

Unawasifia hapa watu wanao kesha kutukana team yetu pendwa?
 
Mfuatilie Jeff Lea wa sports extra clouds fm the guy is genius jungu kuu alikosi ukoko
Mimi ni mshabiki tu na bado sijaona a true soccer pundit in Tanzania
At least katika thread hii kuna the likes of Mos Def ambao ukisoma the way they see and analyze the game, they are way miles ahead kuliko hao pundits uchwara wa kibongo
[/QUOTE
 
ila hapa tz tuna uhuru wa kuabudu hvyo nikuache kama unavyoabudu,kwangu mimi mungu ni mmoja tu na hapana wa kufananishwa naye ila kama kwako gurdiola ni mungu mwingine basi niiheshimu imani yako mkuu


Brother You are playing a guitar kwa Mbuzi
He will never change

لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ
 
You are right king. A draw is enough but kufungwa kwa City kutawatoa kwenye reli kabisa ambayo itakuwa poa zaidi.
Hii roho mbaya mpaka shetani anawashangaa

Hata mkifika fainal uefa hamchukui walahi

Mungu ni wetu sotee, uefa mtaisikia tu kwa style hii

Final na madrid yaliyotokea sio bure, ni laana mlizotengeneza kama hivii
 
While I used to say Everyone must win his own fixtures (Kila Mtu ashinde Mechi Zake) , Meams If Spurs forced CIT to drop points, Its not a favour (doing for us) but they will do it for themselves to fight for Top Four.
 
Hii roho mbaya mpaka shetani anawashangaa

Hata mkifika fainal uefa hamchukui walahi

Mungu ni wetu sotee, uefa mtaisikia tu kwa style hii

Final na madrid yaliyotokea sio bure, ni laana mlizotengeneza kama hivii
umesema mwenyewe Mungu ni wetu sote...hio inatosha kusema, the best prepared team will win, hayo mengine subiri baada ya mechi.
 
While I used to day Everyone must win his own fixtures (Kila Mtu ashinde Mechi Zake) , Meams If Spurs forced CIT to drop points, Its not a favour (doing for us) but they will do it for themselves to fight for Top Four.
Kila mtu akishinda mechi zake city bingwa
 
While I used to day Everyone must win his own fixtures (Kila Mtu ashinde Mechi Zake) , Meams If Spurs forced CIT to drop points, Its not a favour (doing for us) but they will do it for themselves to fight for Top Four.
Citi akishinda leo na Manure, Ganaz ,Chelsi wakaja shinda basi Spurs atajikuta nafasi ya 6...

Top mwaka huu ni kaa la moto kila timu ipambane kushinda mechi zake...
 
Hii roho mbaya mpaka shetani anawashangaa

Hata mkifika fainal uefa hamchukui walahi

Mungu ni wetu sotee, uefa mtaisikia tu kwa style hii

Final na madrid yaliyotokea sio bure, ni laana mlizotengeneza kama hivii

The day when you wrote this shit I knew What kind of someone you are.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom