Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo City ana moto balaa.

Tottenham wamepata 3 chances, finishers kama wana kiwewe hivi.

Kuna patterns Tottenham wanazitumia hasa kupitia kushoto kwa City, inaweza kuwapa goli.
 
hawa cardiff inabidi tuwe na tahadhari kubwa sana kumbukeni kocha wao alisema cardiff wataamua nani awe bingwa kati ya liverpool na mancity sasa kama walishindwa kumfunga city itakuwa wamejiandaa zaidi ili kutuharibia sisi ili kutimiza ahadi yao kuamua nani atakuwa bingwa
#KILAMTUASHINDEMECHIZAKE
 
Screenshot_2019-04-20-16-30-05.jpeg
 
Safi majiran,msiwe na wasiwasi sie man u tutawapa points 3 mapemaaaaaa.Ubingwa wenu na si wa wale wakina fulan
 
it's the UCL in which our destiny is 100% in our own court.

EPL? let's continue trying to win the remaining games and see where that takes us. it's a <50% probability.

at this point, had someone asked me where I should invest more, i would have opted for the UCL.
 
Ili mradi Kuna mechi nne mbele sikati tamaaa,Kuna siku isiyo na jina litatokea la kutokea na nyie mnaojidai kutuletea shobo humu mtatulia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom