Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Mpira haupo hivyo mpira dk90,kikosi hicho hicho ndio kimeitoa huyo man city,an Jana nakukumbusha alieshinda Ni man city sio tothn so nae anaeweza kutokubali kupigwa Mara mbili mfululizo...na ili mradi Brendan Rogers bado hajachexa na Hawa watu bado nafasi ipo..
Hata tukishinda zote Kama yeye hatopoteza Ni kazi bure so nadhani unaona kwann tunaomba yeye apotezee,!!!Kama una swali jingine nipo mkuu
Gini hajawa mbovu, he's tiredGini kawa mbovu kupita maelezo hivi sasa, form yake inatia shaka. Yani pass zake sio productive, mara nying pass fupi fupi zinazochuliwa na adui, hata ku assist imekuwa shida kwake.
Kwangu naprefer Fabby, Nabby, Hendo.
Gini hajawa mbovu, he's tired
Faby, naby, hendo works well for now and we can use that
But gini slows down the tempo, which could be critical hasa kwa away game
Do you wach la Liga?We all watch this game, never seen any team that has managed to slow Barca's tempo.
You can beat them, but you can't slow their tempo.
Messi hawezi zuiwa na uyo shoga mwenye upara
AC Milan mkuu ongezea hapoTunamiliki "original" CL trophy, ni baada ya kushinda hilo kombe Mara 5.
you cant chat au kuongea kuhusu UEFA CHAMPIONS LEAGUE history bila kuitaja LFC..
Ni sisi, Barça, Ajax, Madrid na Bayern ndiyo tunamiliki original version ya CL trophy.
vipi wewe unacomment na note 8?Si uondoe hicho kineno hapo chini ww cha tekno ndy u-comment!! Hlf ufanye kaz kwa bidii bhana!!
Do you wach la Liga?
Yep yep..AC Milan mkuu ongezea hapo
Ajax star Hakim Ziyech we should get this boy as soon th league winds up, he is th real deal.
Tunamiliki "original" CL trophy, ni baada ya kushinda hilo kombe Mara 5.
you cant chat au kuongea kuhusu UEFA CHAMPIONS LEAGUE history bila kuitaja LFC..
Ni sisi, Barça, Ajax, Madrid na Bayern ndiyo tunamiliki original version ya CL trophy.
...De Lite to partner with VvD!
Tunamiliki "original" CL trophy, ni baada ya kushinda hilo kombe Mara 5.
you cant chat au kuongea kuhusu UEFA CHAMPIONS LEAGUE history bila kuitaja LFC..
Ni sisi, Barça, Ajax, Madrid na Bayern ndiyo tunamiliki original version ya CL trophy.
I think is typing error dude but the next game is against CardiffBetter to focus on Huddersfield, not against the so called Barca.
No AJAX player?
Ni the same kama kwenye "original version ya CL trophy"Vipi kuhusu hizo stars kwenye jezi?
De Ligt is a Barça bound....De Lite to partner with VvD!