Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,112
- 1,926
Shida kwa manure ni hawana watu wakufunga pale mbele ambao ni threat kubwa, unlikely tuna front three itayo/inayowapasua vichwa barca kuanzia jana, i can predict that jordi alba hatapanda kama ilivokua kwa alaba na kimmich. from that point the only threat will be faby & messi battle at the half of our areaBora tupewe Barca hao tena nilikuwa na hamu nao sana wahuni hawa! Messi na genge lake la wanyoa viduku wataenda kupigwa mpaka wachakae, ndani na nje.
Hii ni liverpool mpya, #ThisIsLiverpool.
ukweli ni kwamba Hendo sikuhutaji abakie Anfield June hii, kwa sasa hii nafasi mpya kwake chini ya Klopp inaniwai ngumu sana kum rule maana ndogo ameonyesha anaweza B2B kwa perfomance hizi tatu ni dhahiri hii ndio namba yake sahihi kule kwingine mara HM or RB alikua anaonewa...Hendo iyo sio nafasi yake mpya,ila iyo ndio nafasi yake tokea enzi ya BR....akiwa BOX TO BOX huwa ana perform mnoo. Tatzo Klopp alipokuja alitaka ambadili awe DM (Number 6) hapo ndipo alipomharibu uyu mtu.
poleni sana kwa kipigo...mpe pole pia ndugu HonestyKule kafika tu na laliga nyie toka ameondoka hata FA hamna nyie loosefool
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kwa manure ni hawana watu wakufunga pale mbele ambao ni threat kubwa, unlikely tuna front three itayo/inayowapasua vichwa barca kuanzia jana, i can predict that jordi alba hatapanda kama ilivokua kwa alaba na kimmich. from that point the only threat will be faby & messi battle at the half of our area
kote hakufai
Ajax star Hakim Ziyech we should get this boy as soon th league winds up, he is th real deal.
Wataamin soon mkuu...Mi nakwambia Liverpool ni bora zaidi kuliko team yoyote kwa sasa duniani.
Hawaamini wanachokiona, we have conquered all of Europe... Hii ni Liverpool mpya.
Ubora wa timu katika ligi au mashindano yoyote unapimwaje?Mi nakwambia Liverpool ni bora zaidi kuliko team yoyote kwa sasa duniani.
Hawaamini wanachokiona, we have conquered all of Europe... Hii ni Liverpool mpya.
Ila jamaa nyie mna sifa, hamjashinda chochote lakini hayo majigambo duuh,Mi nakwambia Liverpool ni bora zaidi kuliko team yoyote kwa sasa duniani.
Hawaamini wanachokiona, we have conquered all of Europe... Hii ni Liverpool mpya.
What about Hakeem Ziyech?
he's good, but personally nadhani we should target superior talents kwasasa.
will be happy for his signature, but we can aim higher kwasasa.
Kuna Hawa Wachezaji Wa Media Kina Brewster wanazuia Maendeleo ya Baadhi ya Wachezaji wetu.
Kwamfano Mwisho wa Msimu Origi anaondoka kwasababu ya Hawa Waingereza wa Media.