Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
binafsi ningependa abakie kwenye ligi maana ndogo sio wa dunia hii ila kwa mafanikio binafsi uwanjani Real panamfaa zaidi....Hazard anaipenda Chelsea hadi anaumwa lkn Chelsea yenyewe hata haijielewi na ilishajifia kitaaambo!
Toka rohoni namtakia kila la heri Hazard aende zake tu Real Madrid kujitafutia tuzo za kidunia kuliko kupoteza tu kiwango chake hapo darajani.
Sent using Jamii Forums mobile app
UNAJIDANGANYA
Liverpool anatolewa na FC Porto. Hili hamna mtu ataamini.
Nitaifufua hii post siku ikifika.
Nakusubilia uje hapa hapa ulipotoa hizi kejeli....Tulia ivyo ivyo, utakula maneno yako
historia lazima ijirudie hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
walikariri.Southern Highland, Chugga na wengine wa Les Blu poleni sanaa...mtakua mmeelewa tukisema hii ni Anfield Fortress...
Mkuu Aroon tunashukuru kwa kutupa kampani mpaka ushinde umepatikana, kesho nawatakia ushindi dhidi ya Watford...Hahaaa
Yohana 3:16
Goodluck gunnersMkuu Aroon tunashukuru kwa kutupa kampani mpaka ushinde umepatikana, kesho nawatakia ushindi dhidi ya Watford...