Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Sane-Aguero-Sterling
Silva-Ilkay-KDB
MDY-LPT-KPN-WLK
Ederson
Simple Line-Up that can be defeated any timeSilva-Ilkay-KDB
MDY-LPT-KPN-WLK
Ederson
Wakumbuke 2019 hawajashinda mchezo wowote wakitoka kucheza Thursday cup"..
haahaaaPalace again...
Kuna mchezaji wa Liverpool atapiga goli tatu ila sijui ni nani.
Na ushindi unaweza Kuwa mgumu sana(winning ugly) though tutashinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sane-Aguero-SterlingSimple Line-Up that can be defeated any time
Silva-Ilkay-KDB
MDY-LPT-KPN-WLK
Ederson
Acha kuota we liverfool, man city hazuiliki kizembeSane-Aguero-SterlingSimple Line-Up that can be defeated any time
Silva-Ilkay-KDB
MDY-LPT-KPN-WLK
Ederson
bado lisaa tu tuone nani kidume japo Citi kule wanaongoza so habari njema sana hivyo mechi ya leo si ya kupoteza ni ushindi kwetuuu...Teh.. It looks like it will be a one side match. Kutakua na timu ita defend mwa-mwi.
Hujaona maajabu ya Jorginho kwenye match mbili zilizopita wewe. Subiri muda ufike MKUU.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu Jorginho ana zali sana kocha anampenda lakini.mikiki ya ligii hii hajaimudu bado, leo hawa watapoteana vzuri labda Klopp amwanzishe Lallana au Fabo benchi ndio kidogo watapata ahueniHalafu jorginho hana nguvu kabisa, ndio maana Chelsea wakipigwa pressing tu beki zinapoteana ,
Klopp Leo asifanye makosa kwenye midfield , nataman kuona 6 nyingine
Yohana 3:16
weee that not so good...cant understand hii RACISM ni mdudu gani t keep coming back to haunt Black players...its a shame in this new century humans discriminating fellow humans cz of colour of thier skin...He was a racist man.
Heard/read a lot of good stories about him (on the pitch).
But cant be classed as a legend (in my own opinion) because of his racist behaviour.
....i mean we cannot rely on the likes of Manure to help our cause for instance.cha muhimu ni kutimiza yaliyomo ndani ya uwezo wetu - ie tujitahidi kushinda games zetu zote zilizobaki.
mengine tumwachie bibi wa bingo (luck lady).