Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Do or die tomorrow 3 points must stay at Anfield
umenena vyema, hapa ni kila ajimbembe hakuna kutegemea urahisi...Hazard nasikia kaapa kutuangamiza ili Pep awe bingwa..good luck kwake...asinune pointi 3 zikibaki kwa wenyeji...Sisi tunafocus na top four msimu ujao, hatutaki kujua nan atabeba ubingwa ..mechi utakuwa ngumu hakuna ushindi wa kupatikana kirahisi. Hivyo mjipange kwa lolote lile.
Sent using Jamii Forums mobile app
spice this with a win aganist th predictable Sarri boys na itakua week murwa sanaaa...Firmino - Champions League POTW, Klopp - PL Manager of the month, and Mane - PL Player of the month. What a week thus far for our reds.
Sent using Jamii Forums mobile app
kesho hawa tunao...pale Crystal inapotoa maajabu na kushinda dhidi ya Pep boys yaani hapo Sarriboys watanawa magoli kama mvuaa...Lazima niwaombee njaa mkuu, au unataka niwaombee mshinde?
Ikitokea mmeshinda bas tutapambana najua bado nafas ya 4au 3 ni yangu, ila liver mtakuwa mmemuharibia mbio za ubingwa, je atakubali huo upumbavu ,wakat anahitaji silverware
Yohana 3:16
Approach ya Sarri ipo tofauti na Murinyo, yeye kupaki basi sio kivile hivyo itakua open game, mwenye game plan poa ndio ataibuka mshindi...Kesho Chelsea watakuja kuwakazia lkn naamini mtawabomoa
Yohana 3:16
Nawaombea keshokesho hawa tunao...pale Crystal inapotoa maajabu na kushinda dhidi ya Pep boys yaani hapo Sarriboys watanawa magoli kama mvuaa...
Tunashukuru sana...hawa tunao usishangae hii gemu Sarri akafukuzwo na kazi maana itawatia doa kutoingia top four...Nawaombea kesho
Yohana 3:16
Msiwaonee huruma maana hazard amesema anakuja kuwaharibiaTunashukuru sana...hawa tunao usishangae hii gemu Sarri akafukuzwo na kazi maana itawatia doa kutoingia top four...
Klopp has to borrow some notes kwa Bonnos tuwaangamize mapemaaaa...
Unatapatapa unategemea Liverpool atashinda.Nawaombea kesho
Yohana 3:16
cha muhimu ni kutimiza yaliyomo ndani ya uwezo wetu - ie tujitahidi kushinda games zetu zote zilizobaki.Linapokuja Suala la Timu za Manchester Kutaka Ubingwa, Everton na Chelsea hutoa Free Three points kwa timu hizo na Wanapocheza na Liverpool huwa Kinyume chake"
Jimmy Carragher
Man you have a mixed feelings.Lazima niwaombee njaa mkuu, au unataka niwaombee mshinde?
Ikitokea mmeshinda bas tutapambana najua bado nafas ya 4au 3 ni yangu, ila liver mtakuwa mmemuharibia mbio za ubingwa, je atakubali huo upumbavu ,wakat anahitaji silverware
Yohana 3:16
Hahaaa.. Ushawahi kuona Kante anakata umeme, Jorginho anang'oa nguzo.?kesho hawa tunao...pale Crystal inapotoa maajabu na kushinda dhidi ya Pep boys yaani hapo Sarriboys watanawa magoli kama mvuaa...
Huyo hua akipoteana utamtafuta na ki tochi muache azidi kupiga mdomo, sisi ni kimya...Msiwaonee huruma maana hazard amesema anakuja kuwaharibia
Yohana 3:16
Mkuu huyu Jorginho ni jipu tu hawezi kua kiwango cha Kante...huyu anabebwa na kocha na sio ubora wake...kesho asipokua makini atakula umeme...Keita sio mtu mzuri kwa sasa...Hahaaa.. Ushawahi kuona Kante anakata umeme, Jorginho anang'oa nguzo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh.. It looks like it will be a one side match. Kutakua na timu ita defend mwa-mwi.Mkuu huyu Jorginho ni jipu tu hawezi kua kiwango cha Kante...huyu anabebwa na kocha na sio ubora wake...kesho asipokua makini atakula umeme...Keita sio mtu mzuri kwa sasa...