Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwahiyo unataka ashinde Chelsea?
Mm kwa huwez kuniapangia mapenz ya moyo wangu,
Napenda Leo liver akucharaze za kutosha
Yohana 3:16
Kwahiyo unataka ashinde Chelsea?
Kante kukata umeme zilipendwa , sasa hiv mkata umeme wenu ni jorginhoHahaaa.. Ushawahi kuona Kante anakata umeme, Jorginho anang'oa nguzo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu jorginho hana nguvu kabisa, ndio maana Chelsea wakipigwa pressing tu beki zinapoteana ,Mkuu huyu Jorginho ni jipu tu hawezi kua kiwango cha Kante...huyu anabebwa na kocha na sio ubora wake...kesho asipokua makini atakula umeme...Keita sio mtu mzuri kwa sasa...
Wewe ulishindwa nini kunipiga hizo sita mpaka uanze kuomba kwa wenzako. Kuwa makini asije ye ndio akala hizo 6Halafu jorginho hana nguvu kabisa, ndio maana Chelsea wakipigwa pressing tu beki zinapoteana ,
Klopp Leo asifanye makosa kwenye midfield , nataman kuona 6 nyingine
Yohana 3:16
Mbona una midadi sana na game yetu. Ingia kati basi uwe unawafuta jasho wachezaji wa Liver.Kante kukata umeme zilipendwa , sasa hiv mkata umeme wenu ni jorginho
Yohana 3:16
Umeshabadilika na kuwa shabiki wa Liverpool mara hii tu?Halafu jorginho hana nguvu kabisa, ndio maana Chelsea wakipigwa pressing tu beki zinapoteana ,
Klopp Leo asifanye makosa kwenye midfield , nataman kuona 6 nyingine
Yohana 3:16
Tulia tu mzee baba leo unakufa nyingi tu za kutosha, karibu sana AnfieldMbona una midadi sana na game yetu. Ingia kati basi uwe unawafuta jasho wachezaji wa Liver.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard is nothing when it comes to deal with must win game as long best selection is done by Klopp kwenye Line-up
Tulia tu mzee baba leo unakufa nyingi tu za kutosha, karibu sana Anfield
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka mara mwisho uliponikaribisha Anfield nilikufanya nini.? Ahsante nishafika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan squad yangu ilikuaje.?Unaweza kunisomea squad ya Liverpool vs Chelsea kwenye hiyo mechi ya ndondo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sina kawaida ya kumpiga mtu nyingi, ukishakula cap bas tunamalizaga mechi, nitatizo ambalo inabid mwalimu alirekebishe,Wewe ulishindwa nini kunipiga hizo sita mpaka uanze kuomba kwa wenzako. Kuwa makini asije ye ndio akala hizo 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mpole mkuu, mm Leo nipo upande wa liverMbona una midadi sana na game yetu. Ingia kati basi uwe unawafuta jasho wachezaji wa Liver.
Sent using Jamii Forums mobile app


Mm sina kawaida ya kumpiga mtu nyingi, ukishakula cap bas tunamalizaga mechi, nitatizo ambalo inabid mwalimu alirekebishe,
Ila kwa liver ,man city wapenda sifa wanaweza kukutia hata 10,
Yohana 3:16
Kuwa mpole mkuu, mm Leo nipo upande wa liver
Sipangiwi, napenda Leo mcharazwe, pia sipend pep achukue EPL Mara mbili mfululizo
Yohana 3:16
Kwani kuwasapoti Leo liver washinde ndio kuwa kop?
Wewe game ya kwanza kocha alikuwa mgeni ,baada ya hapo ulikula capWewe walishakutia ngap kwa kumbukumbu zako.?
Na mimi mpenda sifa nishakutia ngap.?
Hapo nazungumzia zile za sifa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi gan , mm nataka mpigwe basi ndio furaha yangu,