Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Dah Salah bado kidogo atupe raha hapa
Leo jogoo lazima mshikwe kijambioFabinho lazima ampe somo Harzad
Tafadhali lugha ziwe za heshima!
setensi yako ni tata mkuu?hiyo game plan ya chelsea ni mbaya kwetu au kwao?Game plan ya Chelsea ni mbaya sana
Wako spidi sana hapo na plan yao kubwa itakua hapoHizi kaunta za Chelsea zinaweza kutuponza