OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Anfield tuna historia nzuri sana pale Mara ya mwisho kufungwa sikumbuki ilikuwa ni msimu upi, iyo inanipa uhakika zaid wa kushinda gemu ya leo. Sisi hatutaki kujua nani atabeba ubingwa ..tunataka point tatu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya dakika 90 tukutane hapa
Hamna haja ya kukimbiana,sisi ni wana michezo!
Nani hapa HAYAOGOPI majogoo?
Tukutane baada ya game tusalimiane kidogo!
Sent using Jamii Forums mobile app
