Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Nakukumbusha tu. Sisi binadamu ni wasahaulifu mno. Nitakukumbusha wakati muafaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal fan siku hizi baada ya timu kuingia top 4 ni kutamba kwenda mbele, huko nyuma walipotea
Naona mnateseka sana mwaka huu, nabado subiri tunyanyue makwapa mteseke vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, siwezi kukulaumu kwa sababu siyo regular humu, huyu alishajibiwa, alishashauriwa mpaka tulipogundua kwamba ana matatizo ya akili ndiyo tukaamua kuachana naye.
So siyo vyema wewe kufanya generalization kwa kutumia comments za mgonjwa wa akili.
Kumbe bado kuna Watu wanamjadili Mgonjwa wetu wa Akili humu?
Hahaha, ndo nampa ufafanuzi lembu kwamba maneno ya huyo jamaa ayachukulie kama maneno ya chizi, ndiyo maana hatumjibu.
Happy he got his first goal yesterday , but he still needs more time to settle in looking at his performance yesterday .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji375]tutaonaUo ubwabwa utaambulia kesho baada kipigo cha Everton...
Usijali mkuu tutakuwa pamoja kukutia moyo baada ya kipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule hatutakosa hata ukoko.,mmeamua kuninyima ubwabwa wa msiba wacha niende nyumba ya 5 (chelsea) pengine ntaambulia
Sent using Jamii Forums mobile app
How the league will end by May...
Everton ndio timu ninayoipigaga ninavyotaka ikifuatiwa na Chelsea
Unadhan Everton alivyokufumua wewe basi atawafumua wote?, wewe una kipa pazia , kwahiyo lazima ufumuliweUo ubwabwa utaambulia kesho baada kipigo cha Everton...
Usijali mkuu tutakuwa pamoja kukutia moyo baada ya kipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu hawa jamaa wangekuwa wanagombea top 4?The reason why they are on the title race....15 points yu have taken due to these fallacious events View attachment 1063991
Cheltako msimu huu futuhi lazima muende ,mkitaka msiende mfungen liver na manyuaHahaa.. An Arsenal fan at his best. Sema nini, sisi binadamu tumeumbwa kusahau ukifika muda wako nitakukumbusha kaforomondo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ushindi wako wa kubahatisha bahatisha ..ukishinda kesho nitaamini una kikosi cha kuleta ushindani.Unadhan Everton alivyokufumua wewe basi atawafumua wote?, wewe una kipa pazia , kwahiyo lazima ufumuliwe
Njoo kesho ushuhudie Everton anavyokufa kwa sex football
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahaha eti Chelsea ..unapoandika utumbo usiandike kwenye public hivi.Everton ndio timu ninayoipigaga ninavyotaka ikifuatiwa na Chelsea
Una westham ,una liver , una manyua
Points 6-7 lazima uzitapike hapo
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
😅😅😅😅😅Wewe ushindi wako wa kubahatisha bahatisha ..ukishinda kesho nitaamini una kikosi cha kuleta ushindani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajipaje uhakika wa nafasi ya tatu wakati kesho Everton anakukalisha?How the league will end by May...
1. Manchester City
2. Liverpool
3.Arsenal
4. I don't care
5. I don't care
6. Manchester United
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
HahahahahahahahahahaUnajipaje uhakika wa nafasi ya tatu wakati kesho Everton anakukalisha?
Wewe bado uko hovyo sana afadhali manure wanaeza pambana na kubaki top four lakin sio wewe assanal..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo umeanza kufatilia soka baada ya majumba ya betting kuwa mengiHahaha eti Chelsea ..unapoandika utumbo usiandike kwenye public hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app