Li hendersonTutolee pumba zako ww
Hakuna mtu anataka liverpool ifungwe ili tumkosoe klopp
Ila tukifungwa na lile puuzi lako lipo ndan lazima alaumiwe
13SEPTEMBER
Embu badilika we jamaa mambo ya halisi achana nayo. Huo ni UFALA. Kuwa mtu mzimaWana Liverpool HALISI leo vijana wanaenda kucheza mechi muhimu sana ugenini
Tuzidi shikamana,mambo mazuri yanakuja
Najua WAVIMBA MACHO wanaiombea team vibaya ili wamseme kocha!
Lkn wameisha shindwa,sisi tuna Mungu wao wana shetani
In Klopp we trust!
Ana akili kama za NdugaiEmbu badilika we jamaa mambo ya halisi achana nayo. Huo ni UFALA. Kuwa mtu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀 mkuu umenichekesha sanaEmbu badilika we jamaa mambo ya halisi achana nayo. Huo ni UFALA. Kuwa mtu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! big up mkuu kwa kumea. Haya mambo ya halisi yanakera balaa.Embu badilika we jamaa mambo ya halisi achana nayo. Huo ni UFALA. Kuwa mtu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
kukemeaDah! big up mkuu kwa kumea. Haya mambo ya halisi yanakera balaa.
Embu badilika we jamaa mambo ya halisi achana nayo. Huo ni UFALA. Kuwa mtu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu badilika we jamaa mambo ya halisi achana nayo. Huo ni UFALA. Kuwa mtu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa huwa unaniacha hoi sana na hizo ideology zakoWana Liverpool HALISI leo vijana wanaenda kucheza mechi muhimu sana ugenini
Tuzidi shikamana,mambo mazuri yanakuja
Najua WAVIMBA MACHO wanaiombea team vibaya ili wamseme kocha!
Lkn wameisha shindwa,sisi tuna Mungu wao wana shetani
In Klopp we trust!
Achana na kubeti utapata stroke burechonde chonde jamani naomba mpige kona 5 tu kipindi cha kwanza
tafiti yako ina muda gani??Achana na kubeti utapata stroke bure
Ahaaha mkuu mimi nimeweka HT shot on targets ashinde liverpool kwa handcap ya -2 na ina odd 2.35 Najua wapo serius kwa hy watashambulia sanachonde chonde jamani naomba mpige kona 5 tu kipindi cha kwanza