wakuu naombeni link ya kucheki hii game, manake nilikuwa naangalia kwa burma tv but recently naona hastream tena premier league,
MSAADA PLEASE
Sent using Jamii Forums mobile app
MSAADA PLEASE
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana
Kampun gan mkuuAhaaha mkuu mimi nimeweka HT shot on targets ashinde liverpool kwa handcap ya -2 na ina odd 2.35 Najua wapo serius kwa hy watashambulia sana
"If Liverpool win five and draw one, I think they will win the title"wakuu naombeni link ya kucheki hii game, manake nilikuwa naangalia kwa burma tv but recently naona hastream tena premier league,
MSAADA PLEASE
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi humu hatupaswi kuweka kambi maana nina hamu ya ubwabwa wa msiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni winning squad, no excuse.
Hahaaaaaaaaavipi humu hatupaswi kuweka kambi maana nina hamu ya ubwabwa wa msiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mnashinda ila mkaze hawa watoto huwa wanawakazaga sometimesIle kuona Fabinho na Keita wameanza tayari nikaziona point tatu zetu ziiiiileeeeeeeeeee
Leo mnashinda ila mkaze hawa watoto huwa wanawakazaga sometimes
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Henderson na Milner wamepumzishwa kwa ajili ya FC Porto Klopp sio mgeni kwetu
ni ngumu kumeza lakini ndio ukweli...Jamaa anapanga wabovu makusudi ili baadae abadilishe.
Na juzi ile sub ilifanywa na msaidizi ndomana kuna waliomkimbilia pale alipokaa na kum hug
Leo mnashinda ila mkaze hawa watoto huwa wanawakazaga sometimes
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
hahaha 1xbet hao??Ahaaha mkuu mimi nimeweka HT shot on targets ashinde liverpool kwa handcap ya -2 na ina odd 2.35 Najua wapo serius kwa hy watashambulia sana
true kabisa hii mechi ya Barca haijaja wakati mwafaka kwenu, uzuri soka ni mchezo wa maajabu kama ulivyoona vs PSG pale Paris hivyo yetu macho kupata burudani...Sidhan kama inawezekana mana kuna wenge la barca next week hivy man city anakuja kuongezea wenge lingine mana kushinda ni lazima washinde city...labda chelsea ndy wakomae wapate droo hlf zilizobak akomae na droo au apigwe man u
Asernal fan mdomo mwingi matendo sifuri