Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Unachezesha wewe?
Nikiingalia ratiba ya mechi mlizobaki nazo, naona kabisa msimu ujao Europa inawahusu.
Unachezesha wewe?
Kuna kila dalili ila inabd tusubr tu hadi mwisho wa msimu ila najua tu hiz mech za katikati hapa tutapoteana sanaNikiingalia ratiba ya mechi mlizobaki nazo, naona kabisa msimu ujao Europa inawahusu.
Kuna kila dalili ila inabd tusubr tu hadi mwisho wa msimu ila najua tu hiz mech za katikati hapa tutapoteana sana
Tutolee pumba zako wwWana Liverpool HALISI leo vijana wanaenda kucheza mechi muhimu sana ugenini
Tuzidi shikamana,mambo mazuri yanakuja
Najua WAVIMBA MACHO wanaiombea team vibaya ili wamseme kocha!
Lkn wameisha shindwa,sisi tuna Mungu wao wana shetani
In Klopp we trust!
Wana Liverpool HALISI leo vijana wanaenda kucheza mechi muhimu sana ugenini
Tuzidi shikamana,mambo mazuri yanakuja
Najua WAVIMBA MACHO wanaiombea team vibaya ili wamseme kocha!
Lkn wameisha shindwa,sisi tuna Mungu wao wana shetani
In Klopp we trust!
Kesho tunahitaji kushinda ili tuendelee kuwepo kwenye hizi mbio, tena angalau hata goli 3 ili morari iongezeke zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ndio Klop wetu, pazuri ni pale Fabi akipata nafasi anazidi kufanya vyema kabisa na kudhihirisha umuhimu wake kikosini.
ikiwezekana wapigwe nyingi tu kupunguza goal difference ambayo Citi wametuzidi japo hii gemu ngumu sana...Ushindi ushindi tu, hata kama ni 1-0 ilimradi tukamate 3 points, hicho ndo cha muhimu kwa sasa.
naona Ole honeymoon imeisha,poleni sanaKuna kila dalili ila inabd tusubr tu hadi mwisho wa msimu ila najua tu hiz mech za katikati hapa tutapoteana sana
Na iwe hivyoooooKuna hali naiona ya livarpool kuchukua ubingwa wa ligi kuu katika mechi za mwisho kabisa za msimu, kama alivyofanya man city kipindi kile wanachuana na babu Fergi mpaka washabiki kuingia uwanjani. Nafkiri ukame waliokuwa nao ni sawa na wakwetu naona washabiki walivapool watavamia uwanja kwa hamu. #YouWillNeverWalkAlone
Sent using Jamii Forums mobile app
msimu ujao Chelsi na Manu watakua Futuhi dalili zipo wazi kabisa..kule kuna wafaa sanaEPL tamu sana, kila mtu ashinde mech zake, liver alivyo na njaa, hahaaa Chelsea anapigwa , then Chelsea anaenda kutoana damu na manyumbu,
Kitakachotokea Chelsea na manyumbu wote wanaenda futuhi.
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
naona Ole honeymoon imeisha,poleni sana
Pep ana quality over quantity hapo tu jamaa yupi vzuri...Man city haitegemei kupoteza mech kwakuwa INA mechi nyingi ,man city atapoteza mchezo iwapo atabanwa,
Pep ametengeneza mfumo ambao wachezaji wake wanaingia moja kwa moja , haijalish Leo flan hayupo au yupo, ndio maana mpaka sasa yupo kwenye mashindano yote,
Hii mambo sijui ya kikos kipana , timu nying zina vikos vipana,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
wachezaji wanamwangusha mwalimu sana, hawajituma anavyotarajia..tangu ile mechi ya Fulham alishasema hakuna mechi ya kushinda kirahisi hivyo anahitaji wajitume kisawaswa lakini bado kama hawamwelewi...Mech ya juzi iliharibu kila kitu.... mech zinazokuja, confidence hamna tena
Mech ya juzi iliharibu kila kitu.... mech zinazokuja, confidence hamna tena
Sidhan kama inawezekana mana kuna wenge la barca next week hivy man city anakuja kuongezea wenge lingine mana kushinda ni lazima washinde city...labda chelsea ndy wakomae wapate droo hlf zilizobak akomae na droo au apigwe man ui hope by th tym mkutane na Citi mtakua mmeka sawa, mpambane kushinda ikishidikana hata draw mtakua mmechangia na sisi majogoo kuusogelea ubingwa..
Jamaa anapanga wabovu makusudi ili baadae abadilishe.huyo ndio Klop wetu, pazuri ni pale Fabi akipata nafasi anazidi kufanya vyema kabisa na kudhihirisha umuhimu wake kikosini.