Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
yajayo yanafurahisha..ni wakati wa Keita ku shine
Ni 1xbet...hlf unachanika mana liverpool nachek kweny app kama 3 hiv wanaonyesha ana moja na soton ana moja ukizingatia ni dk ya 35 hivKampun gan mkuu
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
muda wa bingwa wa kuferi, unakaribia.south 1-0 liver 30'
Yah ni wao.....naona kona zipo 4 totalhahaha 1xbet hao??
mambo mengine watajua wenyewe tena ikiwezekana Soton watangulie mguu mmoja ili maafuriko yawakute vizuri.