BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,907
- 11,728
Lallana ndugu hawezi kua starter wa kila mechi hapo alipo utasikia injury siku si nyingi...
huyu atumike hivi tu ila kumtoa Gini 1st team starter sioni kwa kweli..
Yec mkuuBado ni mapema tumpime kwa Next game vs Bayern iwapo atapangwa.
Klopp afanye vyote ila asije akamuanzisha hendo au milner kama Right backUnajua utata utaanza pale ambapo FABINHO hata awe ana ukimwi lazima kuanza!
Lallana iwapo atakuwa na Consistency ya kiwangi cha leo itabidi aanze tu hakuna namna!
Sasa Captain wetu naye lazima acheze, Je nani atakaye mpisha Captain kama sio Gini?
Salah watu tunamtetea Sana ila kiukweli anatuangusha hata goli la tatu alikuwa ashazidiwa na beki ni juhud binafsi tu firmino kuuwahi mpira...Kazi ipi kama hata ku dribble mpira kunamshinda?
Sent from my iPhone using JamiiForums
amini usiamini Lallana is one game wonder au umemsahau majeruhi yalishammaliza baada ya ile block goli la Mane likapatikana aliskia kama kaumia vile na akawastua benchi pale pale Hendo akaanza kupasha but akakomaa yuko sawa mpaka alivyopewa sub...Unajua utata utaanza pale ambapo FABINHO hata awe ana ukimwi lazima kuanza!
Lallana iwapo atakuwa na Consistency ya kiwangi cha leo itabidi aanze tu hakuna namna!
Sasa Captain wetu naye lazima acheze, Je nani atakaye mpisha Captain kama sio Gini?
ubao wa magoli ndio unambeba Salah na si kingine.Salah watu tunamtetea Sana ila kiukweli anatuangusha hata goli la tatu alikuwa ashazidiwa na beki ni juhud binafsi tu firmino kuuwahi mpira...
Sijui kwann roho yangu huwa inamkubali Sana mane kuliko Salah naonaga kama anapewa sifa kupitiliza ila ukiangalia upambanaji hapo mbele mane anapambana Sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
true. Salah kwa sasa yupo off form.Salah watu tunamtetea Sana ila kiukweli anatuangusha hata goli la tatu alikuwa ashazidiwa na beki ni juhud binafsi tu firmino kuuwahi mpira...
Sijui kwann roho yangu huwa inamkubali Sana mane kuliko Salah naonaga kama anapewa sifa kupitiliza ila ukiangalia upambanaji hapo mbele mane anapambana Sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
n once we beat Fulham comin weekend more pressure to Ethad since wao wana FA come weekend...Can see that chief.
amini usiamini Lallana is one game wonder au umemsahau majeruhi yalishammaliza baada ya ile block goli la Mane likapatikana aliskia kama kaumia vile na akawastua benchi pale pale Hendo akaanza kupasha but akakomaa yuko sawa mpaka alivyopewa sub...
hivyo Lallana sioni akimtoa Gini 1st 11 but if he can shake off that injuries trend na awe na kiwango cha leo basi wa kuodoka 1st team atakua ni Gini kumpisha Hendo hilo halina ubishi
Ni kweli boss...ila Kama unamaliza msimu ukiwa mfungaji Bora huku timu yako ikiambulia patupu sisi mashabiki hautusaidii kitu...na kwa msimu huu shughuli anayo kwa aguero sioni atakapompitia Tena...ubao wa magoli ndio unambeba Salah na si kingine.
kabisa hao wawili RB ni michosho...Klopp afanye vyote ila asije akamuanzisha hendo au milner kama Right back
Aguero na Kane ni habari nyingine ishu wote pancha...Salah angekua makini na goli mpaka sasa angekua na 20+ Epl goals..Ni kweli boss...ila Kama unamaliza msimu ukiwa mfungaji Bora huku timu yako ikiambulia patupu sisi mashabiki hautusaidii kitu...na kwa msimu huu shughuli anayo kwa aguero sioni atakapompitia Tena...
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio hapo ebu tusubiri akipata chance michezo ijayo kama atafanya kazi kama leo...Namimi ninawasiwasi huyu jamaa asije akawa kama Sturridge kuwafunga Chelsea ikisha akapotea!!!!
Wacha nistop kumrate mpaka baada ya angalau game 3