Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah under pressure again.. ila ukiangalia boys walvopata lile 1st goal unaona kabisa kuna high morale

Kuhusu lallan most of us tunamchukia sana(including me), ila today kiukweli amekua impressive sasa i really don't know kama consistency yake itaendelea hivi ama.. ila sishaur aanze kule Germany in the next 3 days..

Turns zake na pressing yake has been so good so far
I used to love Lallana more than Hendo jamaa naweza kusema injury zimemshusha kiwango kwa asilimia kubwa.

Ukiangalia toka klopp aje na geggen aliitwa hadi master of geggenpressing.

Kama hatopata injury na kwa kiwango hiki,. atatupooza na kupunguza pressure kwa kuwa tunaweza kutengeneza nafasi na uwezo wake even to shot utaongeza kitu.

Shida ni injury tu naiwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Keita na Shaqir amewasajili wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusajiliwa haina maana ndio ticket ya kucheza ni lazima ufanye juhudi. Fab alikaa bench muda lakini kaonesha yuko ready na taratibu tunaanza kumsahau captain. Keita atakuwa mzuri nadhani next season kipaji kiko na kwa mpira wa leo Lallana kacheza vizuri sana tu moja ya mechi zake bora kwa hiyo wazi kocha kaona kitu kwake wiki hii training.
 
KAMA UTAANGALIA KWA MAKINI KUTOKANA NA PERFORMANCE YA LALLANA LEO BASI NI CONFIRMED KUWA HII SUB NI DALILI YA KUWA NAFASI YA GINI IPO MATATANI KWANI HENDO NI LAZIMA ACHEZE NA LALLANA AKIKAMATA NAFASI BASI NAFASI PEKEE ILIYOBAKIA KWA HENDO NI YA GINI
Hapo ndo inafikia wakati unaombea wachezaji wako waumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusajiliwa haina maana ndio ticket ya kucheza ni lazima ufanye juhudi. Fab alikaa bench muda lakini kaonesha yuko ready na taratibu tunaanza kumsahau captain. Keita atakuwa mzuri nadhani next season kipaji kiko na kwa mpira wa leo Lallana kacheza vizuri sana tu moja ya mechi zake bora kwa hiyo wazi kocha kaona kitu kwake wiki hii training.
Unachosema ni kweli ila tunacholalamika ni kuwa hao wakina Shaqiri na Keita wakipangwa wanafanya vizuri kuzidi hao anaowaweka kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salah mbona amekua flop namna hii?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom