Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So far lallana amejitahidi Sana tu..hata Kama hatumkubali lazima ifike wakat mchezaji anapofanya vizur tumpe haki yake...sio kwa sababu hajapangwa uliemtaka au mechi zilizopita alicheza chini ya kiwango Basi iwe ni kumkashifu tu huo sio ushabiki an ukiweka mapenzi binafsi hasa kwenye mpira utakuwa mtu wa kulaumu tu Kila kitu...

NB:wote hao Ni wachezaji wa lfc na Kila mmoja anahitaji kucheza nadhani hata waliowanunua wanajua Hilo ndio maana wanajaribu kuwapa nafasi wote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Pundits wanaomsifia Lallana kila mpira anaougusa si wanamponza Henderson? Coz anacheza nafasi ya Hendo!
 
So far lallana amejitahidi Sana tu..hata Kama hatumkubali lazima ifike wakat mchezaji anapofanya vizur tumpe haki yake...sio kwa sababu hajapangwa uliemtaka au mechi zilizopita alicheza chini ya kiwango Basi iwe ni kumkashifu tu huo sio ushabiki an ukiweka mapenzi binafsi hasa kwenye mpira utakuwa mtu wa kulaumu tu Kila kitu...

NB:wote hao Ni wachezaji wa lfc na Kila mmoja anahitaji kucheza nadhani hata waliowanunua wanajua Hilo ndio maana wanajaribu kuwapa nafasi wote..

Sent using Jamii Forums mobile app
So far amecheza vizuri, i can't complain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatoka katika vita vita ya Hendo na Keita tunaingia vita ya Hendo na Lallana
Sasa sijui hapa Klopp atachagua yupi kati ya Captaino na Lallana
Very interesting
 
Kama Lallana anafanya vizuri leo it means tupo sawa kumlalamikia Hendo coz with Hendo huwa hatuna attack ya maana!
kwahiyo Lallana should start ahead of Hendo! Lakini je litawezekana hilo?
 
Dah under pressure again.. ila ukiangalia boys walvopata lile 1st goal unaona kabisa kuna high morale

Kuhusu lallan most of us tunamchukia sana(including me), ila today kiukweli amekua impressive sasa i really don't know kama consistency yake itaendelea hivi ama.. ila sishaur aanze kule Germany in the next 3 days..

Turns zake na pressing yake has been so good so far
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom