Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Naishia kucheka kuona Washabiki wenzangu wakibadilisha gia Angani kwa Kutegemea kubeba ubingwa kupitia Uchunguzi anaofanyiwa Man City na FIFA, UEFA na FA kuhusiana na Makosa Yake 4 ambayo akipatikana na Hatia yatamuathiri.
But don't think kwamba Man City akipatikana na Hatia atapokonywa points ili tubebe ubingwa! Never....
Atapigwa Ban kusajili
Atapigwa Fine
Atapunguziwa Kikosi cha Kushiriki UEFA au atatolewa kwenye Mashindano ya CL msimu huu.
Kuhusu kupokonywa points usitegemee hilo kwani sidhani kuwa FA wanasheria hiyo.