Usiyempenda kahusika na magoli yote mawili, and he is playing good so far.Dah ndiyokwanza naanza kuiangalia game nakutia 2 -1
angalau pressure imepungua
Sijui walipataje hawa hili goli moja
hahaha!K
Klopp is just Klopp huyu hapangiwi na mashabiki wala ma pundits out there..
He said the reason to why lallana has started.Lallana shouldnt be starting but still think the team is good enough to beat Burnley.
Na hata akipokonywa tutakua ma bingwa tu ila sio washindi haileti maana pia.Naishia kucheka kuona Washabiki wenzangu wakibadilisha gia Angani kwa Kutegemea kubeba ubingwa kupitia Uchunguzi anaofanyiwa Man City na FIFA, UEFA na FA kuhusiana na Makosa Yake 4 ambayo akipatikana na Hatia yatamuathiri.
But don't think kwamba Man City akipatikana na Hatia atapokonywa points ili tubebe ubingwa! Never....
Atapigwa Ban kusajili
Atapigwa Fine
Atapunguziwa Kikosi cha Kushiriki UEFA au atatolewa kwenye Mashindano ya CL msimu huu.
Kuhusu kupokonywa points usitegemee hilo kwani sidhani kuwa FA wanasheria hiyo.
Usiyempenda kahusika na magoli yote mawili, and he is playing good so far.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lalana si mbovu kimpira yule kaathiriwa na majuruhi tu ila jamaa anakipajilallana hapo ndio inatupa mashaka lakini huwezi kujuwa labda jamaa kafanya vizuri mazoezini tumpe chance akivurunda leo basi mwakani atafute team tu. inaonekana ni attacking katikati japo sina amani kabisa lakini tu support team yetu hii ndio Liverpool.
opinion ni mchanganyiko kutoka mataifa mbalimbali.Kwavile hao ni Waingereza hakuna anayetegemea kuwa watamrate zaidi Mane au Firmino kuliko Lallana
opinion ni mchanganyiko kutoka mataifa mbalimbali.
ila sijawahi kuona au kusikia popote shabiki wa timu anayechukia wachezaji wa timu yake na kuwatukana. I think we're just being too uncultured in here..
It does concern me as ur talking about the team i love.Please focus on your own business what I'm posting doesn't concern you coz this JF doesn't belong to your family
Every one can post whatever he likes without breaching JF's rules.
Who the hell you think you are till do decide to question my opinion?
Just press the ignore botton you'll never see my comment.