hahahaha mkuu kama midfield itakuwa ndo hiyo ile itaisha O-0matuta ya viazi au?
hahahaha mkuu kama midfield itakuwa ndo hiyo ile itaisha O-0matuta ya viazi au?
Maskini barafu, naona zinaenda kulaumiwa tena leo[emoji28]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Counter attack watatufunga.Naamini kuna kam bak inakuja hapa tuwe na aman hawa burnley hamna kitu