We will do the ‘hard way’
Liverpool way
Down to the wire
Mechi hii ilikuwa ngumu sana,Everton wameingia kuharibu tu lkn Salah ndiyo katuua zaidi
Mechi hizi nne ndiyo zitatoa bingwa wa EPL
Liverpool vs Spurs vs Chelsea
Man City vs Spurs vs Man U
Tuna advantages kubwa sababu sisi ndiyo tutaanza kucheza na hawa wawili!
Bado nina imani kubwa sana!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kipindi uko busy kukalili mechi za City,naomba nikukumbushe pia kuwa Liverpool ana mechi dhidi ya Spurs na Chelsea na wengineo..!City ana mechi na Tottenham , Leicester na wengineo sio nyinyi tu
Liverpool Burnley next week, naiona upset nyingine hapoMan city-Watford on Saturday, city lazima aondoke na point 3....mark my words! Ntaifufua hii comment
Sisi kazi yetu ni kuharibu sasa..Wasiwasi wangu kwa nyie majogoo mechi ya chelsea ni ngumu sana maana sarri kamkamata sana klopp
Akumpa pasi, alizidiwa..2010 alimpa pasi Drogba akatufunga goli Anfield game ambayo tungedraw tu basi Man United angekuwa anachukuwa ubingwa
Chief..!Man city-Watford on Saturday, city lazima aondoke na point 3....mark my words! Ntaifufua hii comment
Kuna siku niliwahi kuwaambia hawa, unamsajili Shakir akusaidir nini.? Walinijia juu sana ooh kacheza Bayern, sijui kapita huku na kule. Nikawaambia haya tusubiri tuone atawapa nini.
Bado nasubiri maajabu ya Shaqiri
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ndugu yangu kama kocha hampangi impact yake itaonekana vipi...anyday nitamchukua Shaqir mbele ya Hendo or MilieKuna siku niliwahi kuwaambia hawa, unamsajili Shakir akusaidir nini.? Walinijia juu sana ooh kacheza Bayern, sijui kapita huku na kule. Nikawaambia haya tusubiri tuone atawapa nini.
Bado nasubiri maajabu ya Shaqiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Burnley wanakuja home sasa sijui Klopp atazuia upepo vipi...
Jana kocha katuangusha vibaya sana, kweli unatafuta ushindi halafu unapanga viungo walinzi wote? kanimaliza alivyomtoa Gin na kumuingiza Milner nikajuwa jamaa hayuko serious. nilitegemea kuongeza viungo washambulizi Shakir na Keita. pale acheze Fab au Ander hawawezi kuwa wawili pamoja, na mimi nasema Fab acheze captain ni back up tu. sasa tuombe kudra tu maana huwezi kushinda league na Ander kama Midfilder pass zake ni kama robot. nampenda Klopp lakini kwa jana hapana huyu mzee atatupa ugonjwa wa moyo kwa kweli. tactic alikuwa wrong 100%Hiki kitu wengi kinawaacha mdomo wazi
yeah ndugu. anasema eti na upepo leo ulikua kikwazo ndio maana so many lost balls i.e Salah n Fabihno
"They lost Coutinho and they never replaced him."
Jamie Carragher on whether Liverpool have a problem. Do you agree?
Burnley wanakuja home sasa sijui Klopp atazuia upepo vipi...
Kwa Anfield sina shaka sana ushindi upo...
Burnley wanakuja home sasa sijui Klopp atazuia upepo vipi...
Kwa Anfield sina shaka sana ushindi upo...
Daah nimeisikiliza press ... kuna siku atakuja laumu media kurusha game live