Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

....so, you mean Klopp is a piece of shiite, right??
Si kihivyo bali alinoga akiwa na Buvac na alivyo ondoka ubora wote umepotea pamoja na kusajili watu muhimu.

Ha haaa wewe ulikua unatuambia anatunza nguvu kwa ajili ya mwisho tusilaumu mwisho ndo huu nguvu tulizotunza nazo hazipo.

Zama za BUVAC vigogo wote walikua wanapaki bus iwe kwao au kwetu unakumbuka?
 
we're top of the league, aren't we?
 
Msituletee habari za Buvac ...kama huyo buvac ni mzuri mbona hapewi timu nzuri. Klop ni kocha mzuri mwenye matatizo yake kama makocha wengine....**** siki atazingua kuna siku atafanikiwa. Hata fergie alizinguaga sana tu.
Bado naamini anaweza kutupa ubingwa inngawa wachezaji wako na presha pia. Hata Man city nao kama umewaona jana wameshaanza kuwa na presha ya kuwa kama wakipoteza 1 match basi mambo yatakuwa magumu. 11 au 10 match to go. Tusubiri tuone itakuwa TUKIPITA kwa everton tutauona mwanga. Huku sio ITALY ambako mtu mmoja ndio anakimbia peke yake. Kwahiyo kupanda na kishuka ndio kawaida EPL tumepoteza just 1 match. Sema draw zimetuangusha. Bado sijaona timu nyingine ya kitufunga huko mbele....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Eti kupanda na kushuka, kuna siku umepanda?

Au una maana gani kwa hiyo statement?
 
thank you for a convincing analysis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1034318 hili tunaanza kulizungumzia lini??


Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu sometimes Stats zinamislead!
DE BRUYNE ametoka injury mbaya zaidi na ya Muda mrefu ambayo mpaka sasa hajawa fiti ndiyomana akawa anacheza kwa kiwango duni.
Na sidhani kama ataweza kuwa fiti tena.

Kwahiyo Origi kumlinganisha na De Bruyne ni kumkosea heshima De Bruyne.
 
Pamoja na kushinda goli 5 viungo washumbuliaji bado ni tatizo, magoal yote yamepikwa na fullback, ushindi huu najua utatusaulisha udhaifu wa mido zetu.

Ni yule tu anayeangalia Mpira LiveScore ndiyo atasahau kinachoendelea uwanjani Live, Lakini kwa sisi tunaoangalia Mpira kwenye TV/PC/Mobile hatuwezi kusahau Weakness zetu kwa ushindi wa jana.
 
Hapo hapana Kigumu ni kocha tu ajipange kimkakati! Nakuhakikishia tunaweza kuongoza Ligi mpaka mwisho wa Msimu.

Venginevyo akiendelea kuwa Moga wa Mechi Kibwa basi tujiandae kisaikolojia kuwa Mocked mitandaoni.

Muhimu kuwa na mipango thabiti ya game after game tutakuwa pazuri
 
dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…