Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5021.JPG

IMG_5023.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
an excellent piece of result created from the width. i have been yearning for this recently - that for deep sitting oppositions Klopp should set up the boys consistently whip in the balls from the flanks. they did that tonite and what a reward!

ila forwardline yetu bado ina kifafa. no clicking kabisa, papara nyingi mnoo, no robust link-up play tuliyoizoea and the final ball is very poor. Salah's touches especially have been very poor since the turn of the year. yaani our strength of last season is becoming our achilles heel this season - and at a very crucial stage imagine!
 
Wale ambao hamumuoni orig mko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili Ndiyo Tatizo la Kizazi Cha Leo! Mtu anapoharibu Michezo 7 akafunga Mchezo 1 tu tunasahau ile saba kuwa yeye ni mchezaji wa Kawaida.

Tena hapa subiri utasikia tu watu wanasema "Firmino aekwe bench achezeshwe Origi" kisa tu Leo kafunga goli.

Wanasau kuwa Hata Dosena aliwafunga Manchester United na Real Madrid lakini alikuwa hafai na akauzwa.
 
Tuache masikhala Trent ni mtu muhimu sana

Nakumbuka hili Nililisema Sana Tulipokuwa Kwenye First Round Kuwa TAA ni Beki wetu bora wa Pembeni kwasasa na Hata EPL ndiye Beki bora wa Pembeni, Kuna Mashabiki wa Liverpool Sijui wanatazama Mpira Wapi Wakaanza Kuponda kuwa Hana lolote eti Achezeshwe MILNER kwenye RB.
Leo hii huyo Milner hawataki hata kumuona juu ya kuwa walimpamba kwa sifa kuwa anaweza kucheza Beki 2.

Wengine Wakasema achezeshwe Clyne...

Nilionekana sijui Mpira kisa nilisema Liverpool hakuna Mchezaji wa kumueka Bench TAA

Lakini niliendelea kumuamini TAA kwasababu nilijua tu kuwa He is very talented young Scouser
 
an excellent piece of result created from the width. i have been yearning for this recently - that for deep sitting oppositions Klopp should set up the boys consistently whip in the balls from the flanks. they did that tonite and what a reward!

ila forwardline yetu bado ina kifafa. no clicking kabisa, papara nyingi mnoo, no robust link-up play tuliyoizoea and the final ball is very poor. Salah's touches especially have been very poor since the turn of the year. yaani our strength of last season is becoming our achilles heel this season - and at a very crucial stage imagine!
Forwardline yetu ina kifafa... Yet ina score. Kwangu mimi bora kifafa kinachoscore kuliko kitu kizima lakini butu.

Ama kweli maendeleo hayana chama.
 
Forwardline yetu ina kifafa... Yet ina score. Kwangu mimi bora kifafa kinachoscore kuliko kitu kizima lakini butu.

Ama kweli maendeleo hayana chama.

Mkuu Samahani! Nadhani hijaipata Concept hasa aliyoikusudia ukilinganisha na Majibu yako.

Kwenye Maoni Kuna eitha Tuhuma au Ukweli halisi.

Ni Sawa na Karius last season Kuondoka na Clean Sheet kwenye game ya CL vs City halafu ukaficha ukweli kuwa alikuwa mbovu.

Uliyemqoute hakumsema Mtu mmoja kuwa ni mbovu, Bali kazungumzia FOWARD LINE kwa ujumla ambayo ni performance ya combination ya wachezaji.

Kufunga Wanafunga lakini je kulingana na uwezo wao wanastahili wafunge hivyo?

Au umesahau michezo vs Leicester, West Ham, Bayern, Man United kuwa Hawakufanya kitu na Ukachukua 5 za leo umezifanya kuwa ndiyo reference?
 
Hapana... Najaribu kuangalia kwenye EPL tangu ligi ianze ni timu zipi zimescore magoli mengi zaidi... Hiki kikosi kilipaswa kiwe kimefunga magoli mangapi ili forwardline yake ionekane haina kifafa?
 
Nadhani Liverpool kwasasa imebakia na Game 1 tu ambayo itakiwa underpressure dhidi ya EVERTON

Baada ya hapo kama itakuwa bado inaoongoza Ligi basi Kocha iwapo hatokuja kuwa moga game v/s Chelsea & Spurs ambazo zote tunacheza Home basi City regardless na Matokeo yake lakini hatompita Liverpool
 
Hapana... Najaribu kuangalia kwenye EPL tangu ligi ianze ni timu zipi zimescore magoli mengi zaidi... Hiki kikosi kilipaswa kiwe kimefunga magoli mangapi ili forwardline yake ionekane haina kifafa?

Mpira hauzungumziwi kwa Past Event bali tunajaribu kuuzungumzia kwa hichi kipindi kilichopo kwani performance ya ugungaji wa First round hautatusaidia lolote kwenye hii 2nd round.

Chukua Mchezo wa leo mpaka michezo 5 (In all Competition) iliyopita halafu chukuwa Foward line yetu ya Wachezaji wetu 3 (Mane-Salah-Firmino) na useme wamefunga magoli mangapi?

Halafu Katika michezo kama hiyo mchukuwe aguero peke yake utazame kafunga magoli mangapi?

Hapo utangundua kuwa Wastani wa Ufungaji wa Washambuliaji Wetu 3 unazidiwa na Mgungaji mmoja pekee.

Lakini tatizo ni kuwa unachukuwa perfomance ya First round Salah aliyofunga Magoli 15 kuwa ndiyo ya sasa jambo ambalo si sahihi.

Kwa Sasa Salah goli lina Giza kwake ndiyo hicho kifafa wenyewe kama utakubali
 
Leo team nzima ilikuwa sharp na tuna press high. mimi nadhani team nzima imecheza vizuri sana tu Wat ni wazuri sana tu ni style ya leo wameonekana kama wa kawaida sababu ya wachezaji wa Liv walikuwa wanacheza kwa speed. Good perfomance kwa ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom