The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
Kwahaya maoni ubingwa hakuna.......ni vuruguvurugu tuu
Rudi mwanzo nimekwambia press ya OGS jana kasema hatuna mentality za looserfool kuzungumzia nafasi za kipuuzi nne na tano united imejengwa kuchukua ubingwa ndo mana toka 92 makombe 13 ya epl yapo kabatin wewe je?
Yani Klopp anatufanywa tutukanwe Na Washabiki wa Manchester Matusi ambayo ni ukweli Mtupu wala Sina ujasiri wa Kuyajibu.
Na hii point moja iliyobakia Everton anaisubiri aisambaratishe
Najua kuna Washabiki Wenzangu watanipinga hapa na kudai tutamfunga Everton
TO BE HONEST! SINA IMANI TENA NA HAWA FRONT THREE WETU HUSUSAN SALAH KAMA WANAWEZA TENA KUTUSAIDIA KUBEBA KOMBE LOLOTE
UKWELI NI KWAMBA WAMESHACHUSHA KWA SASA NI WA KAWAIDA TU NA WALA SIO TESHIO TENA WANAWEZA KUKABWA NA HATA SOUL BAMBA NA WASIFURUKUTE.
TUNAHITAJI NEW FACE KUPAMBANA.
LAST SEASON WOTE KWA KILA MMOJA ALIFUNGA GOLI 10 KWENYE CL..
LAKINI CL HII WOTE KWA PAMOJA WACHANGANYISHWE HAWATOFIKA GOLI 10..
KAMA KUNA MTU ANABISHA AHIFADHI HII COMMENT.
Na Ndiyomana Kabla ya Mechi vs Man nilisema zaidi ya mara moja kuwa hii game ni ngumu kwa Liverpool..
Bali Wenye Mihemko wakaja na Ramli zao kujihakikishia kuwa sijui tunashinda 3 - 1, 2 - 0 .....
Na Ndiyomana sikushangaa hapa kuona watu wanasema Tutamfunga Bayern Nyumbani Kwake
Halafu mtu anajiita Mshabiki anayejua mpira huyu! Umfunge Bayern kwenye ardhi yake???????? Labda asiwe kocha Klopp
Mimi naona kabisa kuna SHOCKING itatokea Anfield against Watford naona kabisa Reflect Performance ya timu haionekaniWe will I just bet on it
Sijui kwanini napata hii hisia next round is ours
Naziona game za watford na Everton ni ngumu zaidi kuliko Bayern
Lool
nonsense
Na wewe walewale tu nakuonaga post zako hasa siku zile mlipomfunga arsenal goli 5 post zako zilikaa ki mheko sana nilizisoma kisha nakajiuliza kama mtu wa mpira goli zenyewe zimepatikanaje? Ukiangalia ile mechi utajua bado mnasafar ndefu licha ya kuongoza ligi
Mimi naona kabisa kuna SHOCKING itatokea Anfield against Watford naona kabisa Reflect Performance ya timu haionekani
Kama Man Utd ni wagonjwa kisa ubingwa basi Arsenal wako Mortuary na Liverpool tushawasahau maana walizikwa Miaka mingi iliyopitaKaka acha nao kwetu ni mwiko kumsema mtu mgonjwa na mzee,unaweza pata laana hiyo man u ukiangalia ndani ya miaka mitano epl ni Zaid ya wagoonjwa ni wakuwaonea huruma tu kwa kweli,Kama mtu kashushwa toka nafasi moja juu na anashangilia Kuna haja gani ya kubishana nae ndugu yangu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudandia treni kwa mbele utapata mimba dogo,wapi umeongelewa ubingwa hapo!?Kama Man Utd ni wagonjwa kisa ubingwa basi Arsenal wako Mortuary na Liverpool tushawasahau maana walizikwa Miaka mingi iliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nimemquote Punguani, sorryAcha kudandia treni kwa mbele utapata mimba dogo,wapi umeongelewa ubingwa hapo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio utamu wa soka..unalikosa awamu hii unajipanga kulipata msimu ujao n.k...