Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kwa Asilimia 100.00% najiridhisha kuwa Hatubebi ubingwa wa EPL wala sihitaji Mtu aniunge mkono kwa hill.
Kuna siku niliandika hiyo kitu kwamba tumejikuta tumeongoza ligi, ila hatukuwa na strategy kabisa ndiyo maana tumeshindwa kumaintain.
Mimi zile droo mbili za Westham na Leicester (tena game hii tunasafisha ice upande mmoja tu halafu eti Klopp anasema it favored their defense) nilifuta hizo ndoto.
