Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sio "Hatutoamini Tutakachokiona" hapo umechelewa sana Mkuu kuzungumzia Future!
Bali ukweli ni Kwamba muda huu tulionao ndiyo "Hatuamini Tunachoendelea Kukiona".

Mkuu Be Realistic usiishi kwa Hisia
Hisia ndio unaishi nazo mkuu,mm naongelea ukweli ambao ndio uo unaotuweka kilele Cha ligi mda huu, hisia ndio zinazokufanya uishi kwa kuwaza hata hatujayafikia,..tunaenda game by game mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUNAWIN GAME YA LEO USIKU NAAMINI LAKINI VS EVERTON WEEKEND NI KISANGA BADO YAANI VIJANA WATAKUJA NA AKILI YA DRAW AU KUTUUWA KLOPP ALIVYO KOSA MBINU HAPA MWISHO SIDHANI KAMA GAME ITAKUWA NA SALAMA KWETU

Sent using Jamii Forums mobile app


Merseyside Derby

Kama ilibaki inch tu watoe draw Anfield i wonder what will happen jumamosi wakiwa kwao
 
PAMOJA NA KIPINDI HIKI KIZITO STILL NAAMINI KLOPP ATAJARIBU KUFANYA KITU AMBACHO KITAONGEZA KITU KATIKA KIKOSI CHETU INGAWA KUNA MUDA ANAJIROGA MWENYEWE .

KIKUBWA NINACHO KIONA WACHEZAJI WAMEKOSA MENTALITY YA KUJUA NI NAMNA GANI TUNA PASWA KULIWINDA KOMBE MPAKA TULIPATE MAANA KUNA MUDA HAWAONYESHI JUHUDI KUW NI KWELI WANATAKA KOMBE

ALL IN ALL BADO NAAMINI TUTACHUKUA EPL 2018/2019 NI MAWAZO YANGU LKN TUSILAZIMISHANE KUAMINI HIVYO MNAVYO AMINI NYINYI



Sent using Jamii Forums mobile app
 
PAMOJA NA KIPINDI HIKI KIZITO STILL NAAMINI KLOPP ATAJARIBU KUFANYA KITU AMBACHO KITAONGEZA KITU KATIKA KIKOSI CHETU INGAWA KUNA MUDA ANAJIROGA MWENYEWE .

KIKUBWA NINACHO KIONA WACHEZAJI WAMEKOSA MENTALITY YA KUJUA NI NAMNA GANI TUNA PASWA KULIWINDA KOMBE MPAKA TULIPATE MAANA KUNA MUDA HAWAONYESHI JUHUDI KUW NI KWELI WANATAKA KOMBE

ALL IN ALL BADO NAAMINI TUTACHUKUA EPL 2018/2019 NI MAWAZO YANGU LKN TUSILAZIMISHANE KUAMINI HIVYO MNAVYO AMINI NYINYI



Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja mkuu,
IN KLOPP WE TRUST...
#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Merseyside Derby

Kama ilibaki inch tu watoe draw Anfield i wonder what will happen jumamosi wakiwa kwao
Mkuu klopp bado anauwezo wa kufanya kitu na kuamua maana bado anakila sababu ya kuchukua EPL hii sema kitu kinachoonekana klopp kuna muda anatumia approach mbaya kwenye baadhi ya game hatuwezi kucheza na ile mildfield ya man u ya ile siku na bado tukajaza viungo wakabaji wote maana kulikuwa hamna sababu kwan man u tangu mwanzo wa game walionekana kutuogopa lkn baada ya kuona hatuliface lango lao mara kwa mara na mipira haipitishwi ipasavyo kwa forwad zetu wakapata uhuru wa kufunguka na hatimae kuwa na kiburi cha kutushambulia jambo ambalo lilinishangaza kwa man u ile

Game na EVERTON sioni kama kuna haja ya kujaza viungo wakabaji tu bali mildifield lazima aiswitch kutoka kwenye mentalit ya kudifance muda mwingi na kuifanya iwe na mentality ya kuattack muda mwingi na kuzifanyaa forwad ziwe zina lishwa mipira yenye matunda

Tazama ikicheza mildfield ya HENDO kama CM jinsi inavyo mradhimu BOBY kushuka kati kuchukua mipira yeye mwenyewe na kuisupply kwa MANE na SALAH and at the same time aingie yeye mwenyewe kati akashambulie jambo ambalo gumu sanaaa kwa kutegemea forwad 2 kuvunja ukuta wenye beki kuanzia wa 5



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndipo hapo unapoanza kuquestion uwezo wa kocha...Pale ambapo timu pinzani inafanya subs za lazima zote tatu within 45 minutes halafu kocha wako hajui afanye nini...hajui acheze mfumo gani...hajui amuingize nani ili apate nini...

Pale hata kocha wa Rangers angejua nini cha kufanya.Klopp anadissapoint sana
 
I don't see more than a droo to Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
apart from Arseno Watford r th other team Klopp has scored 12+ goals since he joined....

its one of favourite opponents,

after beating Cardif they come with much hungry to win this game...

if th brexit wont feature i see a cool win...

if they feature il settle for a draw th least.
 
IMG_4181.JPG
 
Tatizo la liverpool kwa sasa ni aina ya wachezaji tulionao. Klopp bado anatakiwa kupewa credit kwa kazi anayofanya kwa kutumia wachezaji wa kawaida kabisa.

Hamna kazi ngumu kama kufanya sub pale liverpool, maana waliobaki kwenye bench ni magalasa matupu, isipokuwa Naby Keita ambaye Klopp ameshindwa kabisa kumwamini.

Captain Heddo, Lalana, Sturridge, na Shaq kuwafanyia sub ni jambo gumu sana ndio maana klopp huwa anakomaa na hao walioko uwanjani, Utamtoa nani kusudi aingie nani na akafanye nini?
Kosa naloliona kwa Klopp ni aina ya mpira anaocheza. Ile attack,attack,attack, kwa sasa siioni kwa muda mrefu. Tumekuwa watu wakucheza mpira uliopoa, hauna amsha amsha kama mwanzo wa ligi tulivyoanza.





Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom