Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Dah! We must sell keita for really,
The boy should force it, yaani milner amweke bench keita? Dunia simama nishuke
kote hakufai
Hatari sana kiongozi
Huyu mjerumani sio poa

Tatizo la liverpool kwa sasa ni aina ya wachezaji tulionao. Klopp bado anatakiwa kupewa credit kwa kazi anayofanya kwa kutumia wachezaji wa kawaida kabisa.
Hamna kazi ngumu kama kufanya sub pale liverpool, maana waliobaki kwenye bench ni magalasa matupu, isipokuwa Naby Keita ambaye Klopp ameshindwa kabisa kumwamini.
Captain Heddo, Lalana, Sturridge, na Shaq kuwafanyia sub ni jambo gumu sana ndio maana klopp huwa anakomaa na hao walioko uwanjani, Utamtoa nani kusudi aingie nani na akafanye nini?
Kosa naloliona kwa Klopp ni aina ya mpira anaocheza. Ile attack,attack,attack, kwa sasa siioni kwa muda mrefu. Tumekuwa watu wakucheza mpira uliopoa, hauna amsha amsha kama mwanzo wa ligi tulivyoanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana kiongozi
Huyu mjerumani sio poa
Mkuu mimi ikifika wakati mchezaji talented anakua hapati anachostahili hua naona bora auzwe tu, una bunduki then unaenda vitani na rungu really?
kote hakufai
Tatizo la liverpool kwa sasa ni aina ya wachezaji tulionao. Klopp bado anatakiwa kupewa credit kwa kazi anayofanya kwa kutumia wachezaji wa kawaida kabisa.
Hamna kazi ngumu kama kufanya sub pale liverpool, maana waliobaki kwenye bench ni magalasa matupu, isipokuwa Naby Keita ambaye Klopp ameshindwa kabisa kumwamini.
Captain Heddo, Lalana, Sturridge, na Shaq kuwafanyia sub ni jambo gumu sana ndio maana klopp huwa anakomaa na hao walioko uwanjani, Utamtoa nani kusudi aingie nani na akafanye nini?
Kosa naloliona kwa Klopp ni aina ya mpira anaocheza. Ile attack,attack,attack, kwa sasa siioni kwa muda mrefu. Tumekuwa watu wakucheza mpira uliopoa, hauna amsha amsha kama mwanzo wa ligi tulivyoanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umpe credit kwa wachezaji ambao anao!
Been here for 4 good seasons, angeweza kuwaondoa wote wabovu na kutengeneza winning team.
Nani kamnyima kusajili?
Mkuu c mnaongoza lakinHivi origi anafanya nini uwanjani?
Sent from my iPhone using JamiiForums