Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huwezi kuzungumzia kitu usicho na uwezo nacho bwamdogo
Saiv levele zenu 5 kwenda chini huko

Sent using Jamii Forums mobile app

Rudi mwanzo nimekwambia press ya OGS jana kasema hatuna mentality za looserfool kuzungumzia nafasi za kipuuzi nne na tano united imejengwa kuchukua ubingwa ndo mana toka 92 makombe 13 ya epl yapo kabatin wewe je?
 
Naona mnazungumzia kuchukua ubingwa mkiwa out top 4, sawa mtachukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnazungumzia kuchukua ubingwa mkiwa out top 4, sawa mtachukua

Sent using Jamii Forums mobile app

Wenzio tukishakuwa nje ya nafasi ya pili tushafunga msimu huwa tumefeli looserfool mkipigania nafasi ya nne ni ubingwa ndo mana klopp mwaka wa nne hana kombe lolote na anapewa mkataba wakat huo upuuzi huukut chelsea wala united maana sio akili zetu na mwaka huu tena mnatoka kapa
 
Dah Mkuu unatutukana sana basi imetosha
 
Kosa kubwa kocha nadhani anajuwa hilo nikwenda toka mwanzo kutafuta draw. angekuwa serious tunataka ushindi mtoto Arnold angecheza fulback na Keita angecheza ila Fab abaki kuwa hold Mid na alotoka Bobby angeingia Shaker badala ya Sturidge. mimi kama mshabiki kabla ya mechi draw nilikuwa nakubali point ila matokeo yaliyotokea baada ya mpira kuanza nadhani tungeonesha tunataka ushindi. na jana hata Sadio pass zake nyingi zilikuwa mbovu ila haifanyi kuwa ni mbaya tuombe tu tumejifunza kitu na jumatano tumpige mtu ili Jumapili tukichukuwa na Everton tujiweke nafasi nzuri. tusikate tamaa sisi Liver tumesubiri sana na hii tutasubiri.
 
Naona mnazungumzia kuchukua ubingwa mkiwa out top 4, sawa mtachukua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka acha nao kwetu ni mwiko kumsema mtu mgonjwa na mzee,unaweza pata laana hiyo man u ukiangalia ndani ya miaka mitano epl ni Zaid ya wagoonjwa ni wakuwaonea huruma tu kwa kweli,Kama mtu kashushwa toka nafasi moja juu na anashangilia Kuna haja gani ya kubishana nae ndugu yangu!!!

Toka 92 huna kitu nani mgonjwa? Umezidiwa had na blakban + leicester city kuongoza ligi ni ubingwa?
 
Yani Klopp anatufanywa tutukanwe Na Washabiki wa Manchester Matusi ambayo ni ukweli Mtupu wala Sina ujasiri wa Kuyajibu.

Na hii point moja iliyobakia Everton anaisubiri aisambaratishe

Najua kuna Washabiki Wenzangu watanipinga hapa na kudai tutamfunga Everton
 
Kwakweli Mimi ni Mshabiki Mchokozi Sana lakini Ingawa tulikuwa tunaongoza but nilijipiga Ban Kwa kipindi kirefu kwenda Nyuzi za Man United na Arsenal Coz Ninaijua Liverpool kuwa Kuna Siku itaniumbua tu ndiyomana nikajiwekea Defensive Mechanism mapema yakutotambia watu kwenye Nyuzi zao.
 
Toka 92 huna kitu nani mgonjwa? Umezidiwa had na blakban + leicester city kuongoza ligi ni ubingwa?
Sasa ewew tokea 2013,una nn!!?blackban Leicester Kama kweli unaujua mpir hizo sio timu za kufananisha na Liverpool labda umfananishe na arsenal au Man City,mm kuwa na ongoza ligi mipango ya mda mrefu an sipo pale kibahati mbaya ndio maana nimekutoboa kwangu na kwako nimetoa draw,Kama huna haja ya top 4 mpe point city wewe

Liverpool mbona mnatia huruma hivyo

Europa

Fa

Carabao

Hebu weka hapa na ww toka huo mwaka
 
Na Ndiyomana Kabla ya Mechi vs Man nilisema zaidi ya mara moja kuwa hii game ni ngumu kwa Liverpool..

Bali Wenye Mihemko wakaja na Ramli zao kujihakikishia kuwa sijui tunashinda 3 - 1, 2 - 0 .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom