Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Waambie mashabiki wenzio wa liverpool wakusaidie kama huko kimataifa una kombe la dunia ngazi ya vilabu na ulibeba lini
Mm sisaidiwi na mtu mkuu najua vitu mwenyewe maana nafatilia an sina ushabiki wa kishamba,nakushangaaa. Eww
Timu yako ipo ya tano unatoa mishipa ya shingo kwa mtu wa kwanza,jaribu hata kubishana na arsenal kwanza ndio uje kulalama kwa Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TO BE HONEST! SINA IMANI TENA NA HAWA FRONT THREE WETU HUSUSAN SALAH KAMA WANAWEZA TENA KUTUSAIDIA KUBEBA KOMBE LOLOTE

UKWELI NI KWAMBA WAMESHACHUSHA KWA SASA NI WA KAWAIDA TU NA WALA SIO TESHIO TENA WANAWEZA KUKABWA NA HATA SOUL BAMBA NA WASIFURUKUTE.

TUNAHITAJI NEW FACE KUPAMBANA.

LAST SEASON WOTE KWA KILA MMOJA ALIFUNGA GOLI 10 KWENYE CL..
LAKINI CL HII WOTE KWA PAMOJA WACHANGANYISHWE HAWATOFIKA GOLI 10..
KAMA KUNA MTU ANABISHA AHIFADHI HII COMMENT.
 
Tokea January ilipoanza sihawahi kuona hata kwenye game moja tukicheza kwa Tactic yoyote hile Bali naona tunacheza kama timu iliyo NA kocha aliyeishiwa mbinu
 
liverpool wachezaji waliopo ni mazuri tena sana! shida ni huyu klop hana mbinu kabisa ya muda gani na wakati gani nani aingie nani atoke,wakati gani abadilishe style ya uchezaji yani yeye mbinu atakayeingia nayo ndio hiyo hiyo anamaliza nayo.
mfano jana baada ya dakika 20 za mchezo alitakiwa aingie attacking middle fielder wa kupeleka mipira mbele na sio kungangania holding middle fielder ,pia alitakiwa abadilishe mbinu awambie wachezaji wapige mashuuti kuanzia mbali,sasa yeye alikaa kama bumunda akiona kila kitu kipo sawa.
by the way mwenzenu matumaini ya ubingwa niliyatoa toka ile siku tulipopoteza kwa city 2-1 kutokana na ufala wa klopp
 
Tokea January ilipoanza sihawahi kuona hata kwenye game moja tukicheza kwa Tactic yoyote hile Bali naona tunacheza kama timu iliyo NA kocha aliyeishiwa mbinu
Hili suala nilitaka kulisema muda mrefu sana toka ligi inaanza ila upepo wa matokeo ukanifanya bubu, Man we've lost our footballing identity, huwezi sema ni aina gani ya mpira liverpool tunacheza since last year ucl semis. Tupo tupo

kote hakufai
 
Kuhusiana na salah mi naona akija bidder yoyote aende he is not a threat any more since ramos saga! Pia bobby abaki tu kua no 10 au squad player come next season, hatuwezi pambania ubingwa if our main and reliable no9 can't even be in top five of goal scorers, remember rvp, aguero, jamie vardy, diego costa, and others when their teams won epl. I purpotedly surpose its a time to build our front from mane, yeah the team should shift from salah to mane
TO BE HONEST! SINA IMANI TENA NA HAWA FRONT THREE WETU HUSUSAN SALAH KAMA WANAWEZA TENA KUTUSAIDIA KUBEBA KOMBE LOLOTE

UKWELI NI KWAMBA WAMESHACHUSHA KWA SASA NI WA KAWAIDA TU NA WALA SIO TESHIO TENA WANAWEZA KUKABWA NA HATA SOUL BAMBA NA WASIFURUKUTE.

TUNAHITAJI NEW FACE KUPAMBANA.

LAST SEASON WOTE KWA KILA MMOJA ALIFUNGA GOLI 10 KWENYE CL..
LAKINI CL HII WOTE KWA PAMOJA WACHANGANYISHWE HAWATOFIKA GOLI 10..
KAMA KUNA MTU ANABISHA AHIFADHI HII COMMENT.

kote hakufai
 
Humu saiv ni vurugu vurugu tuu. Kama tu wabongo humu kisaikolojia wanajua ubingwa hamna tena,sembuse klopp mwenye timu, sembuse shabiki za liverpool englnd, sembuse wachezaji.....Jipangeni upya msimu ujao kama tot,man,chelsea,arsenal. Msimu ujao ni kivumbi tena. Fukuza klopp kama ni kero kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom