Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa yule beki wako anayeweka karikiti kwann asifunge, amefunga Maguire na Antinio itakua fundi Rashy?

Jiandae kisaikolojia tu kuchezea goli zako 2 safi kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hio game utakua ulihadisiwa tu kua makame kaweka mbili lakini hukuona kaziwekaje thats why now unapayuka payuka tu by the way mnajiona mmepona ugonjwa wenu? La hasha hamjapona hata kidogo na tutawarudisha kwenye migogoro yenu kama pale mwanzo tulipowapa dozi ya mgonjwa kutwa mara 3


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnacheza Uefa. Nawajulisha ni Uefa mnacheza. Hamchezi na Singida United bali ni Bayern Munchen ya Ujeruman. Ni bora mngekua mnacheza na Lincolin City au hata angalau Fulham au cardiff city. Nimewaambia mapema ili yakitokea yakutokea tusilaumiane

Hapo anfield amefia PSG kifo cha mende ndani yupo dada neema dogo mbappe na mtukutu cavani tukawapa dozi ya kawaida ya madaktari kutwa mara 3, unalo jipya?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_0058.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom