Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Pep kakupanga uanze kesho !?Mnafurahi wenyewe utazani mko newyork vile......site kesho anashinda sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pep kakupanga uanze kesho !?Mnafurahi wenyewe utazani mko newyork vile......site kesho anashinda sasa
Oooh...!Huyo keita mtamsahau siku atakapokamatwa na herera na matic wa sasa
ndoto hizo comrade taratibu, kwa sasa wekeni kibanda nafasi ya nne haya ya nafasi ya pili sio size yako..
Dhubutu washajua sasa eti hawakurupuki baada ya Moyes, Vangaal,Murinyo wamejua kuwa na subiri ila kwa vile mpiga ramli mkuu alipedekeza jina la Ole usishangae akapewa mikoba mazima...Sasa wakati munashinda kila mchezo basi mpeni Mkataba Kamili OGS ili muanze vilio.
guess th critics of th past two games got to his skin n he has replied superbly...Top perfomance, should be a MOTM
got involved in all 3 goals, with 2 pre assists.
Klopp let him seat in a 3 MF, and instructed Gini to make behind-runs, whlist allowing Fabinho to dominate the space in the middle.
Perfect balance.
i hear even th language is bit of problem esp wen Klopp wonna give him some instruction...Clueless people doubted Naby Deco Keita
he'll be 'too much" for this league.
Mkuu kwa Klopp huyu lol sidhani, tarajia kumuona Hendo starting line up Traford...Kocha atusikilize mechi ya Man Utd apange hii Midfield tumalize kazi asubuhi tu.
Maana tukishinda hiyo game itatuboost sana morale.
guess th critics of th past two games got to his skin n he has replied superbly...
boy hope he get better n better...
i hear even th language is bit of problem esp wen Klopp wonna give him some instruction...
he is learning n adpotin th very needs of whats we want from him...
hopefully there is no going back n keep his head high...
good tyms ahead.
Our Main Men✊✊✊
View attachment 1018394
hilo ni tawi la liver mkuu.................na ndio maana leo sikutia neno kwani nilikuwa najua kinachokwenda kutokea ila kama uliicheki vizuri hii game utagundua liverpool wamechoka sana maana walikuwa na uwezo wa kuwapiga hata goli saba hawa kama wangekuwa katika moto waowamepoteza nafasi nyingi sana za waziAhahaaaah...
Napenda sana Liverpool apigwe na the cherries, lakini hii ni zaidi ya ndoto..!
Bournemouth kumfunga Liverpool Anfield ni sawa na ndoto ya Tanzania kutuma wanaanga wake sayari ya Mars..!