Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yani TAA na GOMEZ wangelikuwa fiti basi hii Line-Up ingelitisha sana.

Liverpool:
Alisson, Milner, Matip, Van Dijk, Robertson, Wijnaldum, Fabinho, Keita, Mane, Salah, Firmino.

Subs:
Mignolet, Henderson, Sturridge, Lallana, Origi, Camacho, Alexander-Arnold.
 
Milli again back four...duu nwei nahitaji ushindi tu leo sio kingine
 
sasa wanaosema wanamwachia Manciti kesho watajiju naona wakiishia Futuhi msimu ujao...

Manure hao kwa mara ya kwanza tangu mwaka jana 2018 Agosti wanaingia BIG FOUR, na hawa jamaa wana kawaida ya kujenga kibanda sasa nyie Chelsi ndio bye bye Big 4...
 
Tunataka 2nd place hata wewe ujiandae kushika nafasi ya 3
sasa wanaosema wanamwachia Manciti kesho watajiju naona wakiishia Futuhi msimu ujao...

Manure hao kwa mara ya kwanza tangu mwaka jana 2018 Agosti wanaingia BIG FOUR, na hawa jamaa wana kawaida ya kujenga kibanda sasa nyie Chelsi ndio bye bye Big 4...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milner alifanya kosa la kuuwacha wazi upande wake tukapigiwa On target ya nguvu
Huyu Jamaa amefika ukingoni kwa kweli
 
Robertson anataka kutusababishia set piece ambayo hatuwezi kuidefend
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom