msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,706
- 8,842
Nawakumbusha tu jamani....chelsea 0 vs bournemouth 4
Ahahaaaah...
Binafsi leo Firmino au Shaqir angeanzia benchi na Origi apate kuanza leo..My squad prediction baada ya Gin na Taa kufanya training with the main squad this week.View attachment 1017461
Sent using Jamii Forums mobile app
utd hawa mbao mpaka sasa wapo eneo la washiriki futuhiNawahakikishia mtamaliza ligi mkiwa chini ya utd, nafasi yenu ni ya 3
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu leo ananyolewa bila zengwe Anfield hachomoki...Nawakumbusha tu jamani....chelsea 0 vs bournemouth 4
Huyo Salah mnaempanga hapo mbele hamuoni mnashushia kiwango chake?My squad prediction baada ya Gin na Taa kufanya training with the main squad this week.View attachment 1017461
Sent using Jamii Forums mobile app
Shaqil ni bomu kabisa akianza na akitokea benchi anakua bonge la mchezaji asa sijui anaanzishwa ka lipi?Binafsi leo Firmino au Shaqir angeanzia benchi na Origi apate kuanza leo..
Keita mwishoni mwa mechi ya Hammers alionyesha angalau cheche za kuforce kupata namba ya kuanza leo...
kwa leo tunachohitaji ni pointi tatu safiii kabisaa nyumbani
Live stream player ipo poa zaidi ya zote, download hii google then utakuleta mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Keita kupangwa line moja na Mane si rahisi ndugu ndio maana tutazidi kumuona kama hayupoo vile..Shaqil ni bomu kabisa akianza na akitokea benchi anakua bonge la mchezaji asa sijui anaanzishwa ka lipi?
Salah aje kwa Shaqil Firminoh asogee mbele hafu Keita acheze na akina Mane kwenye line moja
Ahahaaaah...
Napenda sana Liverpool apigwe na the cherries, lakini hii ni zaidi ya ndoto..!
Bournemouth kumfunga Liverpool Anfield ni sawa na ndoto ya Tanzania kutuma wanaanga wake sayari ya Mars..!
ndio raha ya kuutafuta ubingwa ndugu, presha kama yoooote...Hahah.. wanacheza under pressure sana so The Cherries wanaweza wakawakazia tu. UBAYA UBAYA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Pressure ni lazima wawe nayo Broh,ila naona wanajitahidi kutoionesha pressure waliyokuwa nayo..!Hahah.. wanacheza under pressure sana so The Cherries wanaweza wakawakazia tu. UBAYA UBAYA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
...all the best chief!Leo tunauwa mtu.