Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa ndiyo aina ya wachezaji tunaowataka

Fabinho vs Bournemouth

88% passing
2 chances created
3 aerial duels
4/4 tackles
2 interceptions
1 clearance

👊🏻

Boy is class ame adapt vizuri sana kikosini....

Shinda ni pale Hendo anapona aafu jamaa anapigwa benchi...
 
hongereni sana kwa ushindi wa leo tena nimependa sanaaaaaaaaaa haya matokeo na nilitamani muwapige hata 6 ili mumtie hasira MAN CITY anipigie mtu kesho,mimi sipo katika kinyang'anyiro cha ubingwa so ushindi wenu haunipunguzii kitu so nawaombea mushinde game zote zilizobaki ila game ya man utd na chelsea ndio za msingi lazma munipigie hawa watu aiseeeeeeeeeeeh

duh sasa hii 😀😀😀😀😀😀😀😀 ni too much aiseeeeeeeeeeeeehhhhh munavyosifia mpaka nimeamua kutype maana nilitaka nimute leo dah.....sio kwa misifa hiyo munayoitoa kwa hiyo midi yenu maana kama kweli ni mtu wa soka kuna jambo ambalo lipo wazi kabisa katika mechi yenu hii ya leo..........kwanza game hii ilikuwa ni sawa na YOUNG AFRICAN vs TOTO ya mwanza so mlikuwa mnakipiga na tawi lenu dhahiri shahiri, sijawahi kuona mpira mbovu uliochezwa na hawa wachezaji wa BOURNOMOUTH kama huu wa leo naamini hata wangekuwa SIMBA SC wa kimataifa wangejitahidi hahahahaha.Ukiachilia mbali kuwapo kwa wachezaji wa mkopo kutoka kwenu ambao wana mchango mkubwa katika kikosi cha bono lakini pia wale waliokuwepo kina IBE na wenzake e.g SOLANKE walikuwa wanazingua kama wamefungwa mawe miguuni kifupi hii game ni ya kimipangomipango so haitoshi kutoa mineno yote mkajimaliza bandugu............

please nipigieni MAN UTD na CHELSEA ili nije kuwatimulia vumbi niwakandamize mtaa wa 6
Ndugu usiwe na shaka tulihitaji ushindi kama wa jana turudishe makali yetu yaliyotufanya kuongoza ligi mpaka sasa....

kuhusu Manure na Chelsi hao wanapigika vizuri, cha msingi ni wewe ushinde mechi zako wakti tunakutengenezea njia uingie top 4...

Chelsi na Manu futuhi kutawafunga midomo yao..
 
Naiyona Partnership ya Maniga Wenzetu ikimiliki dimba ha ha ha

Siku atakayoingia mzungu Lallana, Milner au Hendo hapo basi jua hamna kitu.
numbers dont lie hata wanaojaribu kuwatetea Lalaana na Hendo watakua na wakati mgumu sana maana timu jana ilikamilika pass zilifika, interception kwa wakati, hakukua na vacuum katikati ya uwanja hivyo kiungo kilisimama vyema na hatimae kuleta pointi tatu muhimu...

ushindi wa jana umerudisha ile feel good ndani ya kikosi ilihitajika sana kwenda kuwavaa wazee wa Stretford end na bila shaka ushindi nauona pale..
 
Najua. Wapenzi wa Soka haumizwi sana na matokeo ya fkk 90.
Wapenda team huumizwa sana na matokeo.
Vipi ikitokea team ikapotea katika sura ya ushindani?( Leeds united ya Lucas Radebe)

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha umenikumbusha kuna mwamba alikuwa anaitwa VIDUKA dahhh ..........ila kwa hapo kiukweli timu inapoteza msisimko lakini mpaka leo tunaona bado hizi timu zina mashabiki wake na huwaambii kitu kingine wakakuelewa juu ya timu yao,kuna wale washabiki timu ikiwa inafanya vibaya basi hata katika viwanja ,mabanda umiza hawahudhurii alafu kuna mashabiki ambao hata timu yake ikifanya vibaya lakini bado utamuona katika viwanja na mabanda umiza kuangalia mechi za wengine kuangalia burudani.........mimi nipo hivyo mkuu na ndio maana naangalia mpaka ligi za china ,belgium,mechi za madaraja ya chini kama vile segunda,championship,seria b na league 2 nikiwa na nafasi lakini mwingine anaona ni kupoteza muda tu,yeye kama ni shabiki wa liverpool basi mechi anazoziangalia ni zile zinazoihusisha liverpool tu nyingine anaona anapoteza muda bora aangalie muvi za kinigeria......mfano mzuri ni babu yangu ni mpenzi mkubwa wa timu ya taifa ya ujerumani basi lile kombe la dunia nilimtembelea kwake jioni nikakuta anacheki NIGERIAN MOVIES wakati huofrance anacheza na belgium semifinal hahahahaha nilipomuuliza akanijibu timu yangu ishatoka
 
Hawa ndiyo aina ya wachezaji tunaowataka

Fabinho vs Bournemouth

88% passing
2 chances created
3 aerial duels
4/4 tackles
2 interceptions
1 clearance

👊🏻
hahahaha kwa game ya jana hata angekuwa na 100% passing nisingeshangaa na amini kuwa hata kama game hii angepangwa hendo na lallana bado wangeperform vizuri sana tu,
 
Ndugu usiwe na shaka tulihitaji ushindi kama wa jana turudishe makali yetu yaliyotufanya kuongoza ligi mpaka sasa....

kuhusu Manure na Chelsi hao wanapigika vizuri, cha msingi ni wewe ushinde mechi zako wakti tunakutengenezea njia uingie top 4...

Chelsi na Manu futuhi kutawafunga midomo yao..
haya ndio maneno mkuu
 
hahahaha kwa game ya jana hata angekuwa na 100% passing nisingeshangaa na amini kuwa hata kama game hii angepangwa hendo na lallana bado wangeperform vizuri sana tu,

Mbona game za Carabao na FA Hendo na Lallana wameshacheza na timu za Championship na Wanishia kuwa Wazururaji tu.
 
Liverpool crowd are making the team NERVOUS, claims former Anfield star Michael Owen

MICHAEL OWEN thinks its Liverpool fans that are making the team nervy on occasion.

The Reds are battling for their first title in 29 years and their maiden Premier League crown.

Jurgen Klopp’s side looked to be in control but the wheels have threatened to come off since they lost 2-1 to Manchester City at the start of the year.

But former Reds hitman Owen thinks the nerves from Kopites is working its way from the stands into the players’ heads.

Robbie Savage asked on 5Live: “I’m listening to a lot of people saying, ‘Are Liverpool bottling it?’

“I thought that descended from the crowd a little bit”

Michael Owen

“But you know what mate, they’ve lost one game this season, they’re having a wonderful season aren’t they?

Owen said: “It’s unbelievable, yeah.

“What I would say is that there was a little bit of nervousness in the Leicester game, I was there, and there was a little bit of nervousness, but I thought that descended from the crowd a little bit.

“I don’t think the players, you know, are going to bed at night worried or anything like that.
 
uliangalia takwimu zao?ninachopingana na wewe ni kimoja tu kuwa hautoi hukumu kwa usawa .........hendo akifanya vizuri unakausha ila akiboronga unakuja kumwanika hapa na kinyume chake kwa hao wachezaji unaowapenda wewe wakiboronga unakausha ila wakifanya vizuri unakuja kuwapamba hpa kama magazeti ya kibongo na timu zao zikipigwa mikono huko kimyaaaaaaaaaa ila zikipata hata sare siku hiyo habari ni moja tu
 
The African Prince! The man in form! 4 matches 4 goals! Unsung soul
IMG_20190210_113516_026.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongereni sana kwa ushindi wa leo tena nimependa sanaaaaaaaaaa haya matokeo na nilitamani muwapige hata 6 ili mumtie hasira MAN CITY anipigie mtu kesho,mimi sipo katika kinyang'anyiro cha ubingwa so ushindi wenu haunipunguzii kitu so nawaombea mushinde game zote zilizobaki ila game ya man utd na chelsea ndio za msingi lazma munipigie hawa watu aiseeeeeeeeeeeh

duh sasa hii 😀😀😀😀😀😀😀😀 ni too much aiseeeeeeeeeeeeehhhhh munavyosifia mpaka nimeamua kutype maana nilitaka nimute leo dah.....sio kwa misifa hiyo munayoitoa kwa hiyo midi yenu maana kama kweli ni mtu wa soka kuna jambo ambalo lipo wazi kabisa katika mechi yenu hii ya leo..........kwanza game hii ilikuwa ni sawa na YOUNG AFRICAN vs TOTO ya mwanza so mlikuwa mnakipiga na tawi lenu dhahiri shahiri, sijawahi kuona mpira mbovu uliochezwa na hawa wachezaji wa BOURNOMOUTH kama huu wa leo naamini hata wangekuwa SIMBA SC wa kimataifa wangejitahidi hahahahaha.Ukiachilia mbali kuwapo kwa wachezaji wa mkopo kutoka kwenu ambao wana mchango mkubwa katika kikosi cha bono lakini pia wale waliokuwepo kina IBE na wenzake e.g SOLANKE walikuwa wanazingua kama wamefungwa mawe miguuni kifupi hii game ni ya kimipangomipango so haitoshi kutoa mineno yote mkajimaliza bandugu............

please nipigieni MAN UTD na CHELSEA ili nije kuwatimulia vumbi niwakandamize mtaa wa 6
Hahahaaa maombi yako ni magumu sana kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool crowd are making the team NERVOUS, claims former Anfield star Michael Owen

MICHAEL OWEN thinks its Liverpool fans that are making the team nervy on occasion.

The Reds are battling for their first title in 29 years and their maiden Premier League crown.

Jurgen Klopp’s side looked to be in control but the wheels have threatened to come off since they lost 2-1 to Manchester City at the start of the year.

But former Reds hitman Owen thinks the nerves from Kopites is working its way from the stands into the players’ heads.

Robbie Savage asked on 5Live: “I’m listening to a lot of people saying, ‘Are Liverpool bottling it?’

“I thought that descended from the crowd a little bit”

Michael Owen

“But you know what mate, they’ve lost one game this season, they’re having a wonderful season aren’t they?

Owen said: “It’s unbelievable, yeah.

“What I would say is that there was a little bit of nervousness in the Leicester game, I was there, and there was a little bit of nervousness, but I thought that descended from the crowd a little bit.

“I don’t think the players, you know, are going to bed at night worried or anything like that.

Nimeona tu msaliti Owen nimeachia hewani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom