Mkata shombo
Member
- Feb 4, 2019
- 23
- 42
Huwa yuko effective akicheza kutoka pembeni. 9 klopp anampotezea mudaHuyu Salah wa leo jamani awe hivi hivi kwa mechi zote zilizobaki![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa yuko effective akicheza kutoka pembeni. 9 klopp anampotezea mudaHuyu Salah wa leo jamani awe hivi hivi kwa mechi zote zilizobaki![]()
Spot on man. Alikua poa sana leo hasa link up play na BobbyHuwa yuko effective akicheza kutoka pembeni. 9 klopp anampotezea muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile style ni kazi nzuri ya mtu anaitwa Zeljko Buvac, alikua assistant wetu last season mpaka juzi hapa alipoondoka officially japo aliondoka tokea last season katika hatua ya semis CL.Kwa nini Klopp asicheze ile pressing ya mwaka Jana hizi game za mwisho mwisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu yupo hivi ila kocha wako anampanga katikati hujagundua hilo?Huyu Salah wa leo jamani awe hivi hivi kwa mechi zote zilizobaki![]()
Lakini TOTO huyo dhaifu kamfunga SIMBA mara nyingi tu.hongereni sana kwa ushindi wa leo tena nimependa sanaaaaaaaaaa haya matokeo na nilitamani muwapige hata 6 ili mumtie hasira MAN CITY anipigie mtu kesho,mimi sipo katika kinyang'anyiro cha ubingwa so ushindi wenu haunipunguzii kitu so nawaombea mushinde game zote zilizobaki ila game ya man utd na chelsea ndio za msingi lazma munipigie hawa watu aiseeeeeeeeeeeh
duh sasa hii 😀😀😀😀😀😀😀😀 ni too much aiseeeeeeeeeeeeehhhhh munavyosifia mpaka nimeamua kutype maana nilitaka nimute leo dah.....sio kwa misifa hiyo munayoitoa kwa hiyo midi yenu maana kama kweli ni mtu wa soka kuna jambo ambalo lipo wazi kabisa katika mechi yenu hii ya leo..........kwanza game hii ilikuwa ni sawa na YOUNG AFRICAN vs TOTO ya mwanza so mlikuwa mnakipiga na tawi lenu dhahiri shahiri, sijawahi kuona mpira mbovu uliochezwa na hawa wachezaji wa BOURNOMOUTH kama huu wa leo naamini hata wangekuwa SIMBA SC wa kimataifa wangejitahidi hahahahaha.Ukiachilia mbali kuwapo kwa wachezaji wa mkopo kutoka kwenu ambao wana mchango mkubwa katika kikosi cha bono lakini pia wale waliokuwepo kina IBE na wenzake e.g SOLANKE walikuwa wanazingua kama wamefungwa mawe miguuni kifupi hii game ni ya kimipangomipango so haitoshi kutoa mineno yote mkajimaliza bandugu............
please nipigieni MAN UTD na CHELSEA ili nije kuwatimulia vumbi niwakandamize mtaa wa 6
Ile style ni kazi nzuri ya mtu anaitwa Zeljko Buvac, alikua assistant wetu last season mpaka juzi hapa alipoondoka officially japo aliondoka tokea last season katika hatua ya semis CL.
Huyo ndio wanamwita 'The Brain' na ndio mastermind wa gengenpressing ambayo imempa klopp umaarufu katika career yake kama kocha maana wameanza na Buvac tokea Mainz, Dortmund na Liverpool.
So behind the scenes kulikua na The Brain, Buvac, ndio maana kama umecheki mechi zetu baada ya zile semis za Roma hatujacheza na high intensity tena kama tulivyokuwa tunacheza.
Japo kuna wakati unaona glimpses za gengenpressing ila ni variation tu nadhani sio ile kitu OG ya Buvac maana ile ilikua ndio mtambo wa 4G, 5G n.k
Lakini TOTO huyo dhaifu kamfunga SIMBA mara nyingi tu.
Nimeamini Liver ana maadui wengi EPL.
YNWA. Pole #Dully Jr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo DullyJr siyo adui, ni Liverpool HALISI.
Now bring them tukamilishe mwezi
February
√ 24 – Manchester United (A)
√ 27 – Watford (H)
Dully ni Arsenal lakin pia mshirika mkubwa wa Liverpool halisi.
mkuu kama una hisi ni gem ya kimpangompango huna haja ya kutoa hongera halafu huyo solanke katukosakosa mara kibao tuhongereni sana kwa ushindi wa leo tena nimependa sanaaaaaaaaaa haya matokeo na nilitamani muwapige hata 6 ili mumtie hasira MAN CITY anipigie mtu kesho,mimi sipo katika kinyang'anyiro cha ubingwa so ushindi wenu haunipunguzii kitu so nawaombea mushinde game zote zilizobaki ila game ya man utd na chelsea ndio za msingi lazma munipigie hawa watu aiseeeeeeeeeeeh
duh sasa hii 😀😀😀😀😀😀😀😀 ni too much aiseeeeeeeeeeeeehhhhh munavyosifia mpaka nimeamua kutype maana nilitaka nimute leo dah.....sio kwa misifa hiyo munayoitoa kwa hiyo midi yenu maana kama kweli ni mtu wa soka kuna jambo ambalo lipo wazi kabisa katika mechi yenu hii ya leo..........kwanza game hii ilikuwa ni sawa na YOUNG AFRICAN vs TOTO ya mwanza so mlikuwa mnakipiga na tawi lenu dhahiri shahiri, sijawahi kuona mpira mbovu uliochezwa na hawa wachezaji wa BOURNOMOUTH kama huu wa leo naamini hata wangekuwa SIMBA SC wa kimataifa wangejitahidi hahahahaha.Ukiachilia mbali kuwapo kwa wachezaji wa mkopo kutoka kwenu ambao wana mchango mkubwa katika kikosi cha bono lakini pia wale waliokuwepo kina IBE na wenzake e.g SOLANKE walikuwa wanazingua kama wamefungwa mawe miguuni kifupi hii game ni ya kimipangomipango so haitoshi kutoa mineno yote mkajimaliza bandugu............
please nipigieni MAN UTD na CHELSEA ili nije kuwatimulia vumbi niwakandamize mtaa wa 6
kwani huyu bournomouth si amempiga 4g mtu flani juzi tu hapa,nilishasema mimi sina uadui huo kwa sasa...uadui wangu utauona next season ila kwa sasa nawaombea ushindi kwakweliLakini TOTO huyo dhaifu kamfunga SIMBA mara nyingi tu.
Nimeamini Liver ana maadui wengi EPL.
YNWA. Pole #Dully Jr.
Sent using Jamii Forums mobile app
najua unajua na huna mashaka na mimi juu ya upande niliopo kwa mimi kuwepo hapa ni upenzi wangu wa soka na sio ushabiki wa liverpool.............Sina hakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua. Wapenzi wa Soka haumizwi sana na matokeo ya fkk 90.najua unajua na huna mashaka na mimi juu ya upande niliopo kwa mimi kuwepo hapa ni upenzi wangu wa soka na sio ushabiki wa liverpool.............
kabisa anatakiwa aedelee kupata namba na atazidi kujiamini na azidi kusaidia timu kupata pointi muhimu...Never doubted his quality
kote hakufai